Search results

  1. King_Villa

    Hospital nzuri ya wagonjwa wa kisukari

    Asante kiingozi
  2. King_Villa

    Hospital nzuri ya wagonjwa wa kisukari

    Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi Kwa anaejua hospitali naomba...
  3. King_Villa

    Kitu gani hasa kimekuwa na mchango mkubwa katika Uchumi wa Tanzania kati ya Filamu ya Royal tour na Ufufuaji wa shirika la ATCL

    Habari za wasaa wakuu. Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao . Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote . 1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
  4. King_Villa

    Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

    HHahahah Nimecheka sana ....umetisha mzee
  5. King_Villa

    Kwa mliobahatika kuitwa kazini TRA someni hili Tangazo na mlielewe

    Kuna wengine wanasema wameambiwa tarehe 19 wanahitajika HQ na wengine wanasema tarehe 19 wanahitajika ITA ( chuo cha Kodi) Hawajaelewa wako frastuated ..
  6. King_Villa

    Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    ndio. Nauza na kutengeneza
  7. King_Villa

    Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    mkuu naskia huku ni gharama sana.
  8. King_Villa

    Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    Kwa upande wangu ilikuwa rahisi maana nilikuwa nanunua computer with faults (just for parts) nyingi ni second hand na mara nyingi nilikuwa natumia facebook market place kukutana na wauzaji wa huko na wauzaji walikuwa wananiuzia kwa bei ambayo ni affordable. mfano laptop yenye shida ya...
  9. King_Villa

    Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    Asante mkuu. sorry hiyo VAT inakuwa calculated kwa staili gani?
  10. King_Villa

    Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    Habari za muda wakuu. Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka. iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie...
  11. King_Villa

    Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

    Kanunue k-vant nakuja kulipa
  12. King_Villa

    Kuna kitu hakiko sawa Kwenye kampuni ya Dangote

    Ndio ninakoelekea huko, Ngoja nikipigwa ntaleta mrejesho
  13. King_Villa

    Kuna kitu hakiko sawa Kwenye kampuni ya Dangote

    Habari zenu wakuu. Kuna kitu nahisi hakiko sawa kwenye kampuni ya Dangote. Hebu pitieni hiyo document iliyopo hapo chini.
  14. King_Villa

    Kampuni gani hutengeneza betri imara za Magari madogo ukiachana na Cloride exide?

    Habari wakuu, Nahitaji kununua betri mpya kwa ajili ya gari yangu ila ningependelea kampuni tofauti na hiyo chloride exide maana nimeitumia muda mchache sana ,kiufupi sijaipenda (au ni matumizi yangu). Bila shaka nataka kubalisha kampuni nione kama naweza kupata kampuni tofauti na hii Na kama...
Back
Top Bottom