Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nashangaa sana watu kujifanya hamnazo kura ya rais inaenda na makamu wake kwa ule ushindi wa kishindo kuchaguliwa na wananchi milioni 31 na kupata 98% tunaweza kusema kwenye huo ushindi wa...
4 Reactions
25 Replies
208 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche, akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026, amejibu kauli ya Mwenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi...
4 Reactions
6 Replies
263 Views
Lissu, kwa nyakati tofauti, alikuwa anaeleza mahakamani mambo ambavyo sio ya haki aliokuwa anafanyiwa gerezani Ukonga kama vile kuwekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa, kunyimwa privacy...
14 Reactions
23 Replies
301 Views
Mfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao na kupata viongozi wao Hata hivyo, kuna jambo ambalo...
6 Reactions
62 Replies
732 Views
Guys, the game is planned, baada ya kipindi kifupi atarudishwa kundini, muda si mrefu ataibuka hadharani. Mtashangilia sana kuonekana kwake, ni kweli kule kisiwani hawamtaki ila mabwenyenye wa...
4 Reactions
15 Replies
414 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu...
2 Reactions
7 Replies
249 Views
Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii. Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
2 Reactions
4 Replies
53 Views
Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia. Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025...
1 Reactions
0 Replies
28 Views
Ndugu zangu Watanganyika , Nina wasihi sana kwa Unyenyekevu Mkubwa . Yale Mauaji yà Oktoba 29, HATUPASWI kuyachukulia kama Ajali. Kwa kufanya hivo ni sawa na kusema hatukua na MALENGO YOYOTE ...
4 Reactions
5 Replies
64 Views
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na...
4 Reactions
104 Replies
1K Views
Wanabodi, Wengi wetu humu jf, ni watu wa matukio, yaani wanajikita zaidi katika tukio, kilichotokea, ila kuna wachache ni analytical wenye uwezo wa kuchambua, kuchakata na kufanya analysis ya...
64 Reactions
506 Replies
63K Views
Mwanasiasa James Mbatia amesema kuwa kinachozuia kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni kiburi na jeuri cha kundi dogo la watu waliopo madarakani, ambalo limeshindwa kufanya maamuzi kwa zaidi ya...
3 Reactions
5 Replies
121 Views
Unajua sisi wenye Akili Huwa tunakua na Fikra , Hisia zinazofanana !!. Nilitegemea KANISA litamke Waziwazi kumtafuta NCHIMBI , kama Kiongozi namba Mbili, lakini kama Muumini. Kumtafuta NCHIMBI...
14 Reactions
29 Replies
521 Views
Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Wanabodi Naomba kuanza bandiko hili kwa utambulisho wangu, kwasababu this issue is very serious Mtoa mada ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea huu ukiwa ni mwaka wake wa 36...
19 Reactions
74 Replies
2K Views
Kwenye jambo la Tundu Lissu na uhukumu yake unaweza kua mwanzo mpya wa siasa za Tanzania sasa inategemea wao wanataka kusukuma kete gani ukimfunga ni tatizo ukimwachilia ni tatizo Ila mara mia...
1 Reactions
2 Replies
101 Views
Leo Septemba 25, 2026, Tundu Lissu ameendelea kutoa majumuisho ya mwisho Mahakamani kufuatia Kesi ya Uhaini inayomkabili. Katika wasilisho lake la leo, Tundu Lissu amesema kwa mujibu wa Sheria...
3 Reactions
12 Replies
333 Views
Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa...
25 Reactions
84 Replies
1K Views
KATIBU wa CCM Mkoa wa Iringa, Said Goha, amefutwa kazi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kwa tuhuma za ulevi uliokithiri unaodaiwa kuchafua taswira...
1 Reactions
5 Replies
254 Views
Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo...
4 Reactions
25 Replies
483 Views
Back
Top Bottom