Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,945
Reaction score
19,837
Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya.

Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul mtoto wa Rais.

View: https://youtu.be/erEYfjnIs5E?si=1St2SusvFHX62tyr
 
Aisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??
Ndio maana mnaambiwa Kila siku jitahidini kuishi kwa haki, ukiwa Dunia hii usijivune Dunia inaweza kukufanya chochote muda wowote,
Now day tupe wote tunalia.
Dunia ni sawa na gwaride nyuma geuka wa mbele anakuwa wa mwisho.

Makonda aliyeingia clouds na polisi wake amekuja kuwa waziri wa habari.
 
Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya.
Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul mtoto wa Rais.
Kiongozi tuwekee video hapa..
 
Back
Top Bottom