Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,524
- 7,890
CCM
⬇️
RAIS
⬇️
POLISI
⬇️
TISI
⬇️
MAGEREZA
⬇️
JW
⬇️
BUNGE
⬇️
MAHAKAMA
⬇️
RAIS
⬇️
POLISI
⬇️
TISI
⬇️
MAGEREZA
⬇️
JW
⬇️
BUNGE
⬇️
MAHAKAMA
Ambao kimsingi ndio waliotakiwa wawe juu kabisa.Chini kabisa weka wananchi
Hawa wamo ndani ya CCM,Hawa ndio wenye CCMPia kuna hawa hapa:
JK,
Abdul,
Wasiojulikana,
Mwaipopo
Hawa wamo ndani ya CCM.Hapana.
Fanya iwe hivii..
Sa100↘️↙️Dula↘️↙️Mcharangwa↘️↙️Zenji CitizensHao wengine hawana nafasi yoyote ya kimaamuzi.
Aiseee,Hawa wamo ndani ya CCM,Hawa ndio wenye CCM
Yes kabisaAiseee,
Kwa hiyo sasa nchi inatawaliwa na magenge ya wahalifu?
Sheikh Mwaipopo na kundi lake la kigaidi yuko juu ya Polisi.CCM
⬇️
RAIS
⬇️
POLISI
⬇️
TISI
⬇️
MAGEREZA
⬇️
JW
⬇️
BUNGE
⬇️
MAHAKAMA
Kwenye nchi ambazo kuna utawala Bora, hiyo mihimili kila mmoja unakuwa huru ili kuzuia mihimili mingine kuvuka mipaka.Yes kabisa
Kwa kawaida mifumo wa utawala wa nchi nyingi duniani Kuna kitu kinaitwa Mihimili au Muhimili wa dola.
Na mara nyingi umegawanyika katika sehemu tatu.
1) Serikali
2) BUNGE
3) MAHAKAMA
Lakini hapo juu hakuna Muhimili Bali Kuna Organization Chart.
Org Chart bupatikana kwenye makampuni TU.
Na hivyo basi Tanzania ni kampuni ya Watu wachache waliojimilikisha ili kuchuma utajiri na mema ya nchi peke Yao.
Ambao ndio hivyo ilivyo hapo juu.😄😄😄
Ila rais mweke wa kwanza then ccmCCM
⬇️
RAIS
⬇️
POLISI
⬇️
TISI
⬇️
MAGEREZA
⬇️
JW
⬇️
BUNGE
⬇️
MAHAKAMA
Yes na ndio maana hujasikia Polisi wakisema chochote juu Mtu huyo.Sheikh Mwaipopo na kundi lake la kigaidi yuko juu ya Polisi.
Na Saga la Polepole linathibitisha UsemaloCCM ya sasa ni sawa na Ku Klux Klan (KKK).