BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,778
- 3,321
Kipindi cha Magufuli Ujinga huu wa umeme kukatika ilikuwa ni nadra sana, sasa tumerudishwa gizani bila sababu za Msingi, badala ya ku improve baada ya kupata vyanzo bora vya umeme, shida imehamia kwenye miundo mbinu!
Marehemu hawezi kuongoza serikali, sisi viongozi tuache tamaa na kukosa umakini kwenye kazi zetu.
Ilala umeme umekatwa leo asubuhi, saa tatu, wakarudisha saa kumi na moja jioni, umeme ukakatika tena saa moja mpaka saa tatu usiku, tena saa nane umeme umekatika mpaka muda huu, hakuna maelezo!
Ufafanuzi ~ TANESCO: Umeme ulizimwa Ilala-Buguruni kumpisha Mkandarasi wa Mradi wa BRT kuhamisha laini