Hatukumlinda Polepole sasa tumlinde Yuda

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,280
Reaction score
3,534
Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana, wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda, kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
 
Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana,wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda,kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
Yule Yuda yupo kwenye mikono salama maana naye anavaa delay na analo kundi lenye nguvu kama la mfalme
 
Nchimbi ametumwa na Samia kuhadaa watanzania, yeye na Samia ndiyo walimteka Polepole kwa kushirikiana na Kikwete. Hawa wakiingia kwenye 18 lazima waadhibiwe.
Mimi niko tofauti na huu mtazamo. Ninachoamini hadi sasa ndani ya ccm kuna mgawanyiko. Kuna watu wanaamini kwenye matumizi ya nguvu, hila na vitisho ili kufikia malengo yao ya kisiasa! Na kuna wengine wanatamani kuwepo na muafaka wa Kitaifa.

Yaani kuwepo walau na haki kwa wapinzani kama ilivyokuwa zamani. Kura ziliibwa, lakini wapinzani waliambulia chochote. Ila tangu 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu, mambo yamekuwa ni tofauti kabisa.
 
Hao watu wema CCM wapo ila sio huyu mpumbavu nchimbi na samia.
 
Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana,wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda,kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
Lile nyomi la Kaunda suti linalomlinda halitoshi?
 
Naona mmeingia kwenye mfumo 😂

Samuya na Nchimbi wakiona haya, wanaenda kuchekea chooni
 
Mimi niko tofauti na huu mtazamo. Ninachoamini hadi sasa ndani ya ccm kuna mgawanyiko. Kuna watu wanaamini kwenye matumizi ya nguvu, hila na vitisho ili kufikia malengo yao ya kisiasa! Na kuna wengine wanatamani kuwepo na muafaka wa Kitaifa.

Yaani kuwepo walau na haki kwa wapinzani kama ilivyokuwa zamani. Kura ziliibwa, lakini wapinzani waliambulia chochote. Ila tangu 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu, mambo yamekuwa ni tofauti kabisa.
Hapo labda wamrudishe Mbowe. Moto wa Lissu na Heche unauonaje Mkuu?
 
Back
Top Bottom