Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano.
Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi...
Hivi vyama vya Siasa kama CCM na Chadema vilishavuka mtu mmoja kua mkubwa kuliko chama Mbowe yuko wapi Msigwa aliondoka akarudi kwa hiyo hata Lema anaweza kufukuzwa tu ...
Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu...
Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha...
Na Benny Mwaipaja, Seoul, Korea Kusini
Waziri wa Fedha, Mhe. Blozi Khamis Musa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania, akiambatana na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah...
Mtumishi huyo yupo Idara ya Vizazi na Vifo (RITA) Wilaya ya Chemba, Dodoma amekuwa anawajibu watu vibaya na muda mwingine kuwacheleweshea vyeti vya kuzaliwa ili wampe rushwa, anatumia kigezo cha...
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki
Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo...
Owners profit by paying workers less than the true value of their labor
Our so called! INDUSTRIES
AFTER 100 YEARS
STUDENTS WILL STUDY CHINESE AS COLONISTS
AND TANZANIANS AS SLAVES
Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.
Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli Nimeumizwa Sana na Kifo cha Mume wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni Kwa Sababu...
Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha.
Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha.
MY...
Wasalaam,
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, kuna jambo moja ambalo sidhani kama tunaweza kulikwepa kama taifa, Tanzania iko kwenye mjadala wa aina gani ya siasa tunayotaka kwa miaka ijayo?
CCM...
Wanawake wa Ziwa Tanganyika wanauza bidhaa kwa wasafiri wa boti wao wakiwa wanaogelea/wanaelea ndani ya maji.” Umaskini siyo ufahari. Kujaribu kusema “Mungu anampa kila mmoja riziki kwa jinsi...
Huu msiba wa kitaifa wa mume wa Rsis Samia Suluhu Hassan umetuzindua kwa kiasi fulani.
Mume wa Rais ni mtu mkubwa na wa heshima ya kitaifa.
Naamini kuna viongozi wa nchi jirani wengi tu...
Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu...
Maneno ya Lema LET LOVE LEAD yamepokelewa negatively na wananchi wengi tofauti na miaka ya nyuma kabla ya mauaji ya 29/10/2025, sio kwamba maneno ya Lema ni mabaya lakini tatizo linakuja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.