Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wale wote wanaopenda kumuona na kumsikiliza Rais Samia akihutubia au akisoma risala kwenye TV, tukutane hapa ili kwa pamoja tumfuatilie kama tunamuelewa !
3 Reactions
29 Replies
280 Views
Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani Mimi ni Mkristu Mkatoliki,kwa kawaida huwa nasali misa ya kwanza,ila kwa...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Tutakuwa humu kwa muda mrefu! Kuna wale wadhaniao kuwa hali tuliyonayo Watanzania ya kunyimwa uhuru wa kisiasa, kutishwa na kutishiwa, kutokuwa na uamuzi wowote juu ya serikali yetu, watu...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Nimeangalia mahojiano ya Tundu Lissu na John Mnyika kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu, nikajiuliza vipi hao wanaohojiana ndiyo wangekuwa ni viongozi waandamizi wa CCM? Hii kesi inaonesha...
5 Reactions
8 Replies
248 Views
Wakuu, Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Yaani ukiangalia kiu ya wananchi ni kuona kuanzia mwenyekiti,Diwani,mbunge akimpigania haki yake ya kiuchumi na kijamii kwa uwazi kabsaa hata ikitokea kiongozi huyo atashindwa fanikiwa suala...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka...
3 Reactions
10 Replies
126 Views
Halmashauri ya Mji Mafinga imekanusha taarifa iliyotolewa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dkt. Victor Msafiri, kuhusu madai ya kufukuzwa kazi kwa madaktari saba waliokuwa...
0 Reactions
3 Replies
119 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026...
0 Reactions
3 Replies
84 Views
Rais 2030 ni Dr Mwinyi, Makamu wake ni Ndejembi
2 Reactions
9 Replies
258 Views
DAR ES SALAAM, TANZANIA— Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu uwezekano wa Tanzania kupata...
3 Reactions
2 Replies
102 Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Msukuma, amemtaka Mbunge mwenzake, Deo Ndejembi, ambaye ametoka Bungeni baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM kuwa Makamu wa Rais, kutorudia mambo...
0 Reactions
24 Replies
481 Views
Mhe. Lissu: Mimi sijafundishwa multiple choice. Mimi nimefundishwa critical thinking. Sheria unafundishwaje multipe choice? Ndio maana unakuwa mjinga.
14 Reactions
33 Replies
885 Views
Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kuendelea kuitumikia Imani yake mbele ya umma kama kuendelea kwenda kanisani, misikitini au kwa waganga kulingana na imani yake ? Au anakuwa anapelekewa padri...
8 Reactions
21 Replies
394 Views
Ulimwengu wa sasa elimu kubwa yafaa ipewe kipaumbele sana kutokana na ushindani wa kidunia, Kuna nchi Duniani ambazo kwao Degree ni Elimu msingi (kwamba lazima kila mtu awe nayo). Naomba nishauri...
6 Reactions
122 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia...
4 Reactions
21 Replies
322 Views
Mzee Warioba ameweka wazi👇
1 Reactions
14 Replies
180 Views
I’m not big on conspiracy theories. But in the absence of veracious information, what’s one to do? Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep? Nah! Not for a thinking...
62 Reactions
337 Replies
38K Views
kuna mlolongo wa ziara za Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa viongozi wakuu wastaafu katika miezi ya karibuni, na baadhi yake zilikuwa karibu sana na kujiuzulu kwake. Lakini ni muhimu kutenganisha...
4 Reactions
19 Replies
688 Views
Je tunaelekea wapi?
2 Reactions
2 Replies
97 Views
Back
Top Bottom