Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la...
Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja...
Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X...
Moja ya mijadala ilivyoendeshwa katika Bunge la 10, Mkutano wa 18 Kikao cha 3, ambapo Tundu Lissu akiwa ni Mbunge kupitia CHADEMA alivyochangia hoja huku Spika wa Bunge, Anna Makinda naye akitoa...
CURRICULUM VITAE
TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU
TAARIFA BINAFSI
Jina Kamili: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Tarehe ya Kuzaliwa: 20 Januari 1968
Mahali pa Kuzaliwa: Mahambe, Wilaya ya Ikungi, Mkoa...
Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu...
Tundu Lissu aliendelea na majumuisho yake ya mwisho katika kesi yake ya uhaini, akijikita zaidi kwenye hoja kuu mbili:
1. Hoja ya publication: Alipinga madai kwamba yeye ndiye aliyechapisha video...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ameapa kutoogopa vitisho vyovyote na kuendelea kupigania haki za wananchi wake.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na umati...
Tunasoma sakata la Jezi ya timu ya Taifa kama drama vile.
Makonda kama Waziri wa Michezo ana lake
Hamis Mwinjuma , aka mwana FA, Naibu Waziri Michezo naye ana lake
Ndumbaro, aliyekuwa Waziri wa...
Maneno wanayosema watu kwamba wanataka wajumbe wafike hapa kutoka Umoja wa Mataifa, kutoka Commonwealth, kutoka European Union , kutoka wapi kwingine sijui,waje hapa watusaidie kutanzua matatizo...
Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri
===================================================================
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...
Wananchi wa Kijiji cha Kidodoma, Tunduru, wamemtaka Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado kuendeleza kasi ya kuwasemea Wananchi na makundi mbalimbali, hususan...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza kuwa Novemba 04, 2026 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, Mkoa wa Dodoma, pamoja na Madiwani katika kata 11 za...
Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Kondoa Mjini, Dodoma wameeleza hisia na madai mbalimbali kuhusu kutokuwepo kwa Mbunge wao katika shughuli za jimbo, huku taarifa zisizothibitishwa zikisambaa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.