Kwanini walizipokea?Kumbe hawa maaskofu hizi fedha walirudisha. Safi sana
Kwanini walizipokea?
Walirudisha baada ya kuona jumba bovu linawaangukiaKumbe hawa maaskofu hizi fedha walirudisha. Safi sana
Ni kawaida waumini kutoa matoleoKwanini walizipokea?
Haha.Walirudisha baada ya kuona jumba bovu linawaangukia
Kwani huwa hawapewi binafsiakaunti binafsi?
kaka acha hizo
Kinyume kabisa na madili.Kwani huwa hawapewi binafsi
Soma hiyo memo vizuriKumbe hawa maaskofu hizi fedha walirudisha. Safi sana
Moja ya scandal ya ovyo ya kitapeli kuwahi kutokea TZ.C& p
Nchi imepitia mengi hii
Vaa wewe uhusika,nakuletea wewe hela sikwambii kama nimeiba au sijaiba utazikataa ?Kwanini walizipokea?
Au aliambiwa limepewa kanisa?Kwani huwa hawapewi binafsi
Mwingine hata ningekuwa mimi nisingerudisha hata kumi,mtu ana biashara zake unathibitisha vipi alizonipa mimi ndizo alizokuibia hakuzitoa kwenye faida ya biashara zake?Walirudisha baada ya kuona jumba bovu linawaangukia
Mimi au wewe sio sawa na Askofu kakaVaa wewe uhusika,nakuletea wewe hela sikwambii kama nimeiba au sijaiba utazikataa ?
Ktk hiyo barua hapo wapi pameandikwa ulikuwa mchango wa kujenga Grotto ?Kinyume kabisa na madili.
Mchango wa kujenga Kroto apwee binafsi how?
Kwani maaskofu na mapadri hawapewi zawadi binafsi? Zawadi itakuwa haramu kama wana uhakika fedha zimepatikana kwa njia mbovu au zina lengo bovu kama anavyofanya Samia. Amejaribu kuhonga maaskofu wengi fedha ili wasione mabaya yake lakini imeshindikana. NB: UNA BAHATI SANA LEO MTU KAMA MIMI KU-RESPOND POST YAKO.akaunti binafsi?
kaka acha hizo
Bwan Bwana, kwani account ya kanisa Ruge hakuwa anaijuaAu aliambiwa limepewa kanisa?