WANAHARAKATI, KABLA YA KUDAI-ULIZENI KWANZA! DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI NI KIJANA WA DODOMA.
Wanaharakati, kama hamjui jambo fulani, ni vyema kuuliza. Kuna watu wako tayari kuwasaidia kupata...
Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha...
Kwenda kumuona Mama sasa imekuwa ni kama kiki na sio kwenda kumpa pole. Imekuwa ni kulazimishana lazimishana hivi. Cha ajabu wanajali zaidi waonekane kwenye picha zaidi ya kujali kusalimia. Camera...
Jana Agosti 21, 2026, Mahakama Kuu (Masjala Ndogo Dar es Salaam) ilitoa uamuzi muhimu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Jopo la majaji watatu likiongozwa na...
Za ndani zinasema kuwa Mzee wetu Aziz Ki anatarajiwa kuwa VP mpya.
NB: Nami leo nimeamua kuwapenyezea tetesi, haiwezeiani kila siku britanicca mumsifie ati anajua kupenyeza codes.
Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya...
Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT.
Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole?
Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo...
Kama Title inavyosema
Wengi tuna amini kuwa utakatifu ni hali ya usafi maadili mema na kutokuwa na dosari
Lakini je, nini hutokea pale ambapo dhana ya utakatifu inapohusishwa na siasa
Mimi...
Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa...
Sijui mwenzetu hukumwelewa mkuu wako kuwa speed ya kuzoa taka Dar ni ndogo ndio maana amji unakuwa mchafu
Ukaambiwa uifute tenda wasipewe madiwani wapewe kampuni zinazojiweza je UNATAKA...
Anaandika Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Mkazi wa Jijini Mwanza Alloyce Nyanda (Mtozi), akionesha kuunga mkono chapisho la Msanii wa Muziki wa 'HipHop' Nchini, anayeishi Nchini Marekani kwa sasa...
Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria.
Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata?
Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na...
Hivi wewe Hakimu, ukizitafakari Njia zako zilizojaa kupokea Rushwa ya Pesa, Ngono n.k
Unapata Wapi Nguvu ya Kumfunga Kijana miaka 30 Jela?.
Kwamba Maisha yake yote ya Utafutaji yaishie Jela...
Kwa hili niko na Mange 1,000 percent.
Watanganyika wametumia msiba wa mume wa Samia kumkumbusha kwamba na wao waliumia vibaya kuuliwa wame, wake, watoto, na ndugu pamoja na utekaji, utesaji...
Ifike mahali tuwapuuze hawa watu, kuna namna hii familia inatafuta trend na huruma. Ukute mdogo mtu kalipa watu ili waendelee kujadiliwa, si bado ana posho za ubunge
Rule of law inasema no one above the law.
Naamini nchi yetu inaendeshwa Kwa mujibu wa Sheria sio mtu mmoja ajikurupia TU kutaka kupindua serikali
Nashauri mashahidi hao watatu wakatiwe rufaa Ili...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na Watanzania haziishii kuonyeshwa kwenye maonesho, bali...
KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.