Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k...
5 Reactions
17 Replies
296 Views
Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu...
14 Reactions
85 Replies
1K Views
Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka...
0 Reactions
15 Replies
173 Views
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu! Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake...
17 Reactions
88 Replies
1K Views
Mafia ni jina na genge la kihalifu lililoanzia Katika mji wa Sicily nchini Italy na baadhi kuhamia Marekani,likasambaa nchi jirani ya Marekani na Hadi likaingia katika nchi za Amerika ya...
15 Reactions
14 Replies
488 Views
Sikiliza we unae soma hapa, kama mama na Babako na Mama yako ni Kapuku, usiingie kwenye siasa na ukaleta mdomo na kiburi utapotezwa na hakuna wa kukutetea unaliwa kichwa mithili ya Pole pole, na...
2 Reactions
6 Replies
151 Views
Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka...
1 Reactions
1 Replies
83 Views
Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM...
0 Reactions
7 Replies
134 Views
Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani...
1 Reactions
6 Replies
317 Views
By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe. CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii...
1 Reactions
5 Replies
97 Views
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier...
3 Reactions
28 Replies
503 Views
Kwa tafsiri hii ni kuwa Migambo ndio wanastahili kichapo👇
1 Reactions
3 Replies
111 Views
Wanabodi, Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu...
18 Reactions
88 Replies
6K Views
Mtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani. Baadaye wataanza kulia ooohh mahakama, mahakama, mahakama. Kama mahakama haina haki kwa wapinzani kwanini mlipeleka mawakili...
4 Reactions
30 Replies
341 Views
Namkumbusha Samia Suluhu Hassan Samia uache kiburi na majivuno ya madaraka ubaki kuwa mnyenyekevu kwa wananchi. Samia sikiliza wananchi. Samia , jambo la Oktoba 29 litabaki kuwa kovu na doa...
22 Reactions
28 Replies
802 Views
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama. Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata...
18 Reactions
70 Replies
2K Views
Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu. Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila...
9 Reactions
19 Replies
335 Views
Dereva akimchana live Chalamila MY TAKE Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe. Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking. Maseva 50 wanaweza...
24 Reactions
57 Replies
1K Views
I would like to raise a matter that I believe deserves serious reflection within the Commission’s responsibility for ensuring and maintaining quality in Tanzania’s universities. Professor, as TCU...
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Wakristo wanaamini ndoa ni ya mume mmoja na mke mmoja..na hivyo si sahihi kiroho kwa mkristo kuhani msiba kwa mume au mke wa pili kwa mtu..! Muwe na jumapili ya Baraka.
4 Reactions
21 Replies
180 Views
Back
Top Bottom