Kama Nia ni kutokana mchezoni nadhani Serikali haiwezi kua na uvumilivu.
Ni kuanza kulinganisha naufisadi wao.
CCM na Ufisadi ni kama uji na mgonjwa.
Kwa mfano katuga na wenzake wakiuliza juu...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ametoa wito kwa familia ya Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Emmanuel Nchimbi kujitokeza hadharani na kuwahahakishia Watanzania kuwa yuko salama.
Ado...
MTU Hana Silaha yoyote ile sio Kisu Wala Panga Wala Bunduki.
Huenda ana Tatizo la Afya ya Akili.
Huenda anapitia kipindi kigumu sana cha Uchumi Kiasi kwamba Hana pakushika, akilim kwake...
Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara...
Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa...
Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama...
Ukiona mtu kipindi hiki kigumu kwa maisha ya Lisu mtu anaibua mvurugano, ujue huyo ni pandikizi a CCM.
Akili ya kawaida inakwambia kuwa muda huu ni kupigania maisha na uhuru wa Lisu. Mtu ambaye...
Mwenye interest asome hili andiko.
..........Congress implemented Clause 1, and the resulting elements of the offense are asfollows:
1. A person who owes an allegiance to the United States
2...
Maswali kama Heche una magari mangapi, uliyanunua lini, hoteli Dubai ulikuwa unalipiwa na nani, nani kakuwekea pesa benki, yatasaidia nini kuthibitisha uhaini wa Lissu.
Kinachoendelea sasa...
Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu.
Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema 2015 nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho...
Godbless Lema aliposema amefikisha salamu za pole kutoka kwa Tundu Lissu, jambo ambalo kwa kawaida lingeweza kubaki katika mipaka ya utu na mawasiliano ya kawaida ya kisiasa, limegeuka kuwa chanzo...
Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo...
Sasa kama michango ya Tone Tone imeliwa huo si utakuja kuwa ushahidi utakao kuja kuonekana katika ukaguzi wa kawaida wa CAG unahusikaje na ushahidi wa kesi ya Uhaini iliyo mahakamani inayo muhusu...
Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
Sio mara ya kwanza Lema kutiliwa wasiwasi na wanachama wa Chadema.
Kipindi cha Uchaguzi wa Mkiti kanda ya Kaskazin alisusa akakimbia Canada, hata wakati wa Uchaguzi wa Mkiti taifa uliomuondoa...
Wanaukumbi.
John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India...
Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe...
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc.
Hivyo...
TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu.
Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu.
Kama ambavyo MBOWE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.