Wanabodi,
Huu ni uzi wa swali kuhusu Serikali Yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian", Jee ni Kweli?. Kama Sii Kweli, inamaanisha ni uongo!, Tusikubali Uongo Huu!, Tuukanushe, maana uongo...
Wanabodi
Kama kawaida yangu kunapotokea mitanzuko kati ya kauli za viongozi, sheria na katiba, watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili lazima wajiulize what will happen hiyo tarehe 21/1 maana...
Kila mtu anajua umuhimu wa CAG, hata Katiba yetu ya mwaka 1977 inatambua hilo na ndio maana imeweka kinga na heshima ya madaraka hayo ili afanye kazi kwa uhuru na bila woga.
Sio kwetu tuu bali...
Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu.
Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi.
Kama mlipigwa pini mitano...
Wanabodi,
Hii ni just info tip. Baada ya minong'ono ya Kuwasilishwa leo kwa Ripoti ya CAG kuenea.
Natoa wito kwa wana JF wenye nafasi, tujitokeze kwa wingi kushuhudia tukio hili litakalo...
Wengi wamefafanua kwamba iwapo Rais hataipeleka ripoti bungeni basi CAG ataipeleka.
Kumbe kuna uwezekano Rais asiipeleke hivyo CAG akalazimika kuipeleka.
Katika kupekuwa haraka sijaona utaratibu...
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kwenye ukumbi wa mikutano ya waandishi wa habari Bungeni, ambapo CAG, Ludovick Uttouh, anazungumza na waandishi wa habari, kuhusu ripoti yake.
Kubwa kuliko ni...
Wanabodi
Leo naendelea tena na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Jee Azimio la Bunge kutofanya kazi na CAG Prof. Mussa Assad, ni uamuzi halali au batili?, na jee una maslahi gani kwa...
Habari wajuzi wa Mambo,
Leo nimekuja hapa kisiasa kidogo nia ni kuwakumbusha vijana kuwa sisi ndio wengi na ndio chachu ya maendeleo katika taifa letu lakini sisi ndio wa kwanza kulalamika ilhali...
Kwa John Pombe Magufuli (CCM) angekuwa "disqualified" kuwa kiongozi tangu wakati wa kampeni zake kwa sababu kampeni yake kwa zaidi 50% ilikuwa inakiuka maadili na kanuni za uchaguzi wa mwaka...
Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA , aliepata 13% na baadae kuitisha maandamano ya kupinga matokeo hayo ambapo wafuasi wake walipuuza wito wake wa maandamano, na baadae akakimbilia Ubelgiji kwa kusema...
Leo ikiwa ni siku ambayo kamanda Mawazo aliuwawa mwaka 2015,picha za mwili wake ukiwa umevujaa dama zimesambaa huko twitter kama kumbukumbu ya tukio hilo la kinyama.
Waliotenda unyama ule sijui...
Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye...
Salaam....
Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu...
Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba...
Hesabu hii imenipiga chenga kujua NEC imetumia uwiano gani katika utoaji wa wabunge wa viti maalum kwa Chadema kupewa "offer" ya kupeleka wabunge Wa viti maalum 19 wakati CCM iliyojizolea viti...
Naona kama vile Urais wa Zanzibar ulikuwa unamsubiria kwa hamu Dkt. Hussein Ally Mwinyi kutokana na kwamba 'umempendeza' na 'unampendeza' halafu ameuvaa na wenyewe pia umemvaa vyema na kwa haraka...
Wanaoishabikia CCM leo ili itawale milele waacheni wafanye hivyo ila bila wao kujua wanatengeneza maslahi yao ya leo kwa shingo zao fupi zisizoona kesho.
Mfumo huu huu wanaousimika leo...
Nianze mada yangu kwa kutoa tafsiri ya neno Demokrasia, ni serikali ya watu iliyochaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki
Hata hivyo Rais Magufuli ametoa tafsiri tofauti katika...
1. Sikuwahi kusoma sehemu kuwa kulikuwa na kuhamishwa kwa binadamu kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa minajiri ya kuwatumia kama mashine isipokuwa waafrica.
2. Sikuwahi kusoma sehemu binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.