Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,826
- 38,901
Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA , aliepata 13% na baadae kuitisha maandamano ya kupinga matokeo hayo ambapo wafuasi wake walipuuza wito wake wa maandamano, na baadae akakimbilia Ubelgiji kwa kusema anatishiwa, amekanusha taarifa zilizosambaa kwamba atahutubia bunge la Umoja wa Ulaya,!
Amesema hayo akiwa anahojiwa na lugha ya kiswahili ya VOA ya Marekani.
My take:
Hii taarifa niliiona hadi kwenye page rasmi za CHADEMA mitandaoni. Inakuwaje wanaeneza huu uzushi kwa faida ya nani?
Amesema hayo akiwa anahojiwa na lugha ya kiswahili ya VOA ya Marekani.
My take:
Hii taarifa niliiona hadi kwenye page rasmi za CHADEMA mitandaoni. Inakuwaje wanaeneza huu uzushi kwa faida ya nani?