Niko tayari kuwa shujaa wa keyboard kuiondoa CCM; nitaonekana shujaa kwa kizazi changu kuliko kuiona CCM ikitawala bila kupingwa

Mnyapesimeka

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,860
2,000
Wanaoishabikia CCM leo ili itawale milele waacheni wafanye hivyo ila bila wao kujua wanatengeneza maslahi yao ya leo kwa shingo zao fupi zisizoona kesho.

Mfumo huu huu wanaousimika leo unconstitutionally utakuja kuwala watoto wao kesho waacheni wachimbe kaburi lao leo hii wakijua wanamkomoa Lissu ila naapa kwa jina la aliyetuumba walioona umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi sio wajinga ni swala la muda

Leo hii wametangazana wako 200+ kwa sauti ya Ndugai, Mungu ni mwema baada ya miaka mitano hiyo 200+ ukitoa vifo vya kawaida watapukutishana wenyewe kwa wenyewe

Tunzeni Uzi huu hata nitaporudi mavumbini.

Superbug.
 
Mnyapesimeka

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,860
2,000
Yani moyo wangu uamini...

Sugu mbeya
Msigwa iringa mj
Mbowe hai
Mdee kawe
Heche Mara Prof jize mikumi
Bwege...
Bulaya
Zito kigoma

nk

et al

Hawa wamesalitiwa na wanachi hapana mtanikata shingo kuamini huu uhuni ila Ila Ila Ila Ila naaapa kwa Mungu alietuumba majibu yatajibu soon Mwenyezi Mungu hadhihakiwi.
 
Masanva Aya

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
447
1,000
Amejitahidi bila mafanikio kuwabatiza kwa moto kichwani wapinzani kwa 5 iliyopita, kaona kumbe upinzani bado upo mioyoni mwao waja wake aliye juu ya vyote ... kaamua kufanya aliyoyafanya.

sasa ccm wajiandae wao kwa wao atawatumbukiza kwenye bwawa la moto.
Mda utaongeza .
 
Kahorogoma

JF-Expert Member
May 13, 2013
305
250
Super bug wewe kwani hao chadema unaowaamini sera zao za majimbo unajua hasara zake kwa umoja wa kitaifa,sera za kutaka kubinafsisha na kuweka rehan maliasili zetu unaona ni sawa?

Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,520
2,000
Ni kwa sababu tuu viongozi wa sasa hawapendi kelele na matusi, ila kwa siasa za hapa Tanzania bado sana, tuhesabu miaka 40 ijayo, hawa vijana wadogo wanaokua ndio utakuwa upinzani ila siyo mbowe na wenzake
 
My Sons Legacy

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
3,023
2,000
Mimi Nakuhurumia tuu Kijana

Hujakatazwa kupinga Au kuwa na Maono yako binafsi, Lakini sio kwa namna hii ya upingaji au kuwasilisha maono, Mara ukatwe shingo. Viapo vyako utakuja kuvikimbia hivi, Uzuri ni kwamba Uzi hautafutwa utakuja tuu kuusoma na utajawa na Guilty Consciousness Trust Me, Muda ni Mwalimu Mzuri Sana so relax chukua popcorn angalia movie

Binafsi,
" I don't support democracy ya vyama vingi kwa nchi changa kama hii yetu "
Sababu ninazo kibwena but Aaaarggghhh kuchoshana tuu siaminigi Saana kwamba nawez baridisha mtazamo wa mtu kwa Maandishi

Vitu vingine vinahitaji exposure kidogo sio tuu Mambo ya darasani ndugu zanguni
Sijui civics

Endeleeni kupiga Spana wazee hahahahh
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,538
2,000
Yani moyo wangu uamini...

Sugu mbeya
Msigwa iringa mj
Mbowe hai
Mdee kawe
Heche Mara Prof jize mikumi
Bwege...
Bulaya
Zito kigoma

nk

et al

Hawa wamesalitiwa na wanachi hapana mtanikata shingo kuamini huu uhuni ila Ila Ila Ila Ila naaapa kwa Mungu alietuumba majibu yatajibu soon Mwenyezi Mungu hadhihakiwi.
Hakika hata Mimi nitakuwa Wa mwisho kuamini kuwa wabunge wote hao mahiri wamedondoshwa katika uchaguzi uliokuwa huru na haki!

Huo wizi wenu wa kura mliofanya CCM mwaka huu, hakika Mungu anawaona na atajibu "very soon" kutokana na huu ujambazi mlioufanya
 
Mnyapesimeka

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,860
2,000
Mimi Nakuhurumia tuu Kijana

Hujakatazwa kupinga Au kuwa na Maono yako binafsi, Lakini sio kwa namna hii ya upingaji au kuwasilisha maono, Mara ukatwe shingo. Viapo vyako utakuja kuvikimbia hivi, Uzuri ni kwamba Uzi hautafutwa utakuja tuu kuusoma na utajawa na Guilty Consciousness Trust Me, Muda ni Mwalimu Mzuri Sana so relax chukua popcorn angalia movie

Binafsi,
" I don't support democracy ya vyama vingi kwa nchi changa kama hii yetu "
Sababu ninazo kibwena but Aaaarggghhh kuchoshana tuu siaminigi Saana kwamba nawez baridisha mtazamo wa mtu kwa Maandishi

Vitu vingine vinahitaji exposure kidogo sio tuu Mambo ya darasani ndugu zanguni
Sijui civics

Endeleeni kupiga Spana wazee hahahahh
Uzuri ni kwamba kuongoza nchi za Africa haihitaji IQ kubwa unaposema hukubali demokrasia katika nchi change ni kwasababu ya upumbavu wako maana USA baads ya unification wars waliona umuhimu wa demokrasia Sasa hizi nchi za kipumbavu na viongozi wetu wajinga ndio wanaamini kwamba wataonekana wazalendo kwa kutumia nguvu na wapuuzi kama nyie wakiwasapiti basi wanajipa legitimacy I kiukweli mpaja mfumo huu uwa tafune ndio mtajua kwanini karne ya 21 hatwahitaji madikteta. Haiingii akilini kuniaminisha kwamba ili nijenge bwawa la umeme lazima ninyamazishe watu wote 60 milioni kidume niwe mimi tu huu ni upuuzi.
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,805
2,000
CCM inafuata mfumo ‘schema’ wako tayari kukosolewa provided kama kuna chama cha upinzani credible na hoja za msingi.

Vinginevyo watajikosoa wenyewe, kuliko kulea ukabaila.

Tatizo sio CCM bali upinzani usio na tija, kwa upinzani uliopo sasa though not ideal lakini bora tue nchi ya chama kimoja.

Sio tatizo kivile watanzania hatuna shida kuikosoa serikali ata kama bunge zima ni la CCM.

Aiwezekani wewe utake kuichongea nchi yako ikandamwize halafu uungwe mkono.

Never we will support ppl like that
 
Mnyapesimeka

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,860
2,000
CCM inafuata mfumo ‘schema’ wako tayari kukosolewa na kama kuna chama cha upinzani credible. Vinginevyo watajikosoa wenyewe.

Tatizo sio CCM bali upinzani usio na tija, kwa upinzani uliopo sasa though not ideal lakini watanzania hatuna shida kuikosoa serikali ata kama bunge zima ni la CCM.

Aiwezekani wewe utake kuichongea nchi yako ikandamwize halafu uungwe mkono.

Never we will support ppl like that
Millions are supporting all who go against CCM and aren't puppets so is Lissu the hero.
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,805
2,000
Millions are supporting all who go against CCM and aren't puppets so is Lissu the hero.
A million ppl can’t handle the wrath of 55 million others.

Watanzania atuwezi kamwe kumuunga mkono mtu kama Lissu.
 
Mnyapesimeka

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,860
2,000
A million ppl can’t handle the wrath of 55 million others.

Watanzania atuwezi kamwe kumuunga mkono mtu kama Lissu.
Uchaguzi wa juzi msingetumia polisi mngeelewa nini watanzania wanataka.watanzania thou wengi hawana tv majumbani walianza kumuona Lissu akiwapigani itv kabla ya meko sauti ya lissu ilianza kusikika kwenye vipindi vya itv wakati meko akivaa suti zake za mikono ya kufurumia na bungeni alipeove kuwa mtetezi wa wanyonge dhidi ya dola ndio maana ikamtwanga 16 bullets usitufundishe kumjua lissu wakati wewe ni wakuja mjini.
 
Maneno ya mkosaji.

Kumfananisha Lissu na Magufuli ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi.

Lissu baada ya kuingia na hoja zake za train wamejenga wajuremani sijui barabara wamejenga akina nani baada ya miezi kadhaa ya kuzunguka Tanzania ndio akaja kuelewa kumbe barabara, train, madaraja, vituo vya afya, ukarabati wa shule plus shughuli zingine zote za tamisemi alizokuwa akiziponda kabla ya kuzunguka Tanzania ndio shida halisi za watu wengi.

Lissu akuijuwa Tanzania, Kama Magufuli anavyouijua baada ya miaka 20 ya kukaa kwenye miundombinu, ndugu ao watu usiwalinganshe they are not on the same level kwenye macho ya watanzania.

Viva Magufuli
 
Mnyapesimeka

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,860
2,000
Maneno ya mkosaji.

Kumfananisha Lissu na Magufuli ni mbingu na ardhi.

Ilimchukua Lissu miezi kadhaa baada ya kuzunguka Tanzania kuelewa kumbe barabara, train, madaraja, vituo vya afya, ukarabati wa shule plus shughuli zingine zote za tamisemi alizokuwa akizioinga ndio shida halisi za watanzania.

Lissu akuijuwa Tanzania, Kama Magufuli anavyouijua baada ya miaka 20 ya kukaa kwenye miundombinu.

Viva Magufuli
Na iwe viva Toto lako likitekwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom