From Dodoma: CAG Press Conference ya Ripoti ya Ukaguzi (Audit Report) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

From Dodoma: CAG Press Conference ya Ripoti ya Ukaguzi (Audit Report)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Apr 20, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,525
  Trophy Points: 280
  Salaam,

  CAG, Ludovick Utouh, amefanya Press Conference hapa Bungeni Dodoma kuwasilisha Ripoti ya Ukaguzi.

  Ripoti Zenyewe ni hizi.
   

  Attached Files:

 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,525
  Trophy Points: 280
  Hivi sasa, CAG anaendelea kuzungumza. Miongoni mwake, Serikali Kuu, mambo bado kote sio shwari, japo hali ya mambo ni mazuri kuliko mwaka jana.
  Halmashauri karibu zote hati safi isipokuwa Wilaya ya Kilosa, hati ni chafu.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,525
  Trophy Points: 280
  Sheria ya Government Guarantee mwisho ni kiwango cha 75% lakini serikali inatoa guarantee mpaka Asilimia 100%
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,525
  Trophy Points: 280
  CAG ameishauri serikali kubadili mfumo wa ajira kwa kuachana na Permanent Pensionable into Contracts, ili kama mtu akishindwa kuperform, anakwenda na maji, lakini hali ilivyo sasa, hata ukiboronga vipi, unaishia kuhamishwa tuu.
   
 5. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata CAG atayarishe ripoti nzuri kiasi gani bado kuna ubadhilifu mwingi mno Serikalini ambao unafumbiwa macho na kuchukuliwa kuwa ni matumizi halali midhali yamepitishwa kwenye budget.

  Pia hilo la kubadilisha watu kutoka kwenye Permanent Pensionable kwenda kwenye Contracts nalo sidhani kama linaweza kusaidia sana. Kwa hali ilivyo watumishi wengine wanaweza kuwa victims tu wakatolewa kazini kwa makosa madogo madogo ili waingizwe wengine kwa maslahi binafsi ya wakuu wa kazi. Dawa ni kujenga nidhamu na mioyo ya uadilifu miongoni mwa watumishi.
   
 6. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  CAG anatoa ripoti kama hivi ili sisi wanatanchi tuzitumie kwenda kudai uwajibikaji kutoka kwa viongozi wetu. Upatikani wa hizi ripoti ni hatua nzuri sana kuelekea kwenye uwazi Serikali. Ni jukumu letu wananchi kuzitumia ipasavyao na sio kusema kauli kama hiyo hapo juu.

  CAG ametimiza wajibu wake, Wananchi na hasa kupitia wabunge tuna jukumu la kutimiza wajibu wetu.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hii ni kampeni ya JK na CCM yake! Haiwezekani halamashauri zote zikawa na hati safi. Zote ni kama mashimo yasiyokuwa na mwisho (bottomless pits) kuhusu fedha wanazokusanya na zile za ruzuku kutoka serikali kuu. CAG anawadanganya nani? Mbona huko vijijini ufukara umekithiri, vijana kibao hawana kazi na wanatiririkia mijini hasa hapa Dar. Hati safi kweli? Tell that to the birds!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Haah....huku si kwa Mkullo?
   
 9. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Hata Halmashauri ya Sumbawanga alikotimuliwa Mkuu wa Wilaya kwa ubadhilifu wa pesa za kilimo kwanza kuna Hati safi? Au Kilimo kwanza ni package ambayo haihusu halmashauri?
   
 10. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Pasco, CAG hakuzungumzia kabisa Halmashauri ya Sumbawanga ambako kulitokea wizi wa fedha za mbolea?
   
 11. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2010
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Asante sana, ila nimepata tatizo katika kufungua ile ripoti ya Tatu MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA. pdf
  Inakuja message kuwa: the file is damaged and could not be repaired
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Naona CAG ana'mchana' mkulu kiaina!   
 13. J

  Jafar JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kudos Pasco
   
 14. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2010
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hata Bagamoyo wamepata hati safi! Au wale aliowatimua waziri mkuu ubadhirifu wao si wa mwaka 2009?
  CAG angalia sana; ingawa wewe huwezi kusema 100% kuwa hakuna wizi au ubadhirifu, inabidi uwe mwangalifu unapotoa hati safi maana hati safi kila mtu ataitafsiri ki vyake kulingana na madhumuni yake!
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  aaahhhhhhhhhh..................jamani..............richmond imekufa hivi hivi..............duy hizi ripoti nazpo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nadhani huo wizi ulitokea karibuni, hii ni ripoti ya 2008/09
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,525
  Trophy Points: 280
  Wenyeviti wa Kamati za Hesabu za Serikali, John Cheyo, Serikali za Mitaa, Dr. Will Slaa na Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe, pia walizungumzia ukaguzi huo.
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Naona hatukusanyi mapato ipasavyo. Ona hii:

  The report notes of an increase of the amount of money which is not collected effectively from Sh789,247,000 for 2007/08 to Sh10,020,246,900 for the financial year 2008/09 which is an increase of 1,170 percent.
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ile halmashauri inayohusisha sakata la Jerry Muro nayo safi ina maana PM alichemsha kuwafukuza watendaji wa kule bagamoyo?
  nadhani CAG anavyosema Hati safi ana maana ni uchafu wenye nafuu katika uchafu.

  Imekuwaje CAG kaanza kuwa na publicity hizi zama za JK. hatukumsikia sana CAG kipindi cha MKAPA. Ni kwamba CAG amekuwa na uhuru sasa hivi kupita kipindi kilichopita au ni Usanii wa danganya toto.
   
 20. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #20
  Apr 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida hati safi lakini madudu kibao..Hii mimi siielewi kabisa.
   
Loading...