Kwa karne hii ya 21 yenye vizazi vya wasomi waliobobea katika nyanja mbalimbali hapa Tanzania hatuna mahakama ya kuhoji matokeo ya Urais ni aibu sana
Vinchi vidogo vidogo vyenye population ndogo...
Wakati wa kampeni alipokuwa Ikungi district, nyumbani kwao na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Rais Magufuli alitamka maneno ya msingi sana ambayo yalionyesha nia yake ya kutaka maridhiano na...
Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa...
UHUSIANO WA CHADEMA, TUNDU LISSU NA UBELGIJI: KWA NINI TUNDU LISSU ALIKIMBILIA UBALOZI WA UJERUMANI?
Leo 20:30hrs 14/11/2020
Ilani ya CHADEMA ikinadiwa na mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu...
Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na...
Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika.
Mtoto wa mkulima aliyepata elimu...
Inavyoonekana neno uzalendo linatumika kuwakilisha matakwa binafsi zaidi na si kama lilivyokusudiwa katika matumizi yake.
Mf. Mtu kaibiwa analalamika hasikilizwi, anataka aandamane kuonyesha...
Habari Jf,
Napenda kuuliza kwa watu wenye taarifa zaidi juu ya waliokuwa Wabunge na sasa waligombea mfumo ukawakataa kwa sasa wanajishughulisha na majukumu gani ya kuwaingizia kipato kuweza...
Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya.
1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana.
2...
Kwako GWAJIMA
Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu
Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa...
Wana JF
Tuseme ukweli tu ingawa ukweli mchungu, Wananchi wazalendo wa nchi hii wanakwenda kuiadhibu CHADEMA na mgombea wake Lissu tarehe 28 Oktoba. Si kwa sababu hawampendi Lissu la hasha. Ni kwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo
Akitoa...
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa...
Eng. Zezudu,
S.L.P. .......,
Mbyct,
11/11/2020.
Rais wa JMT,
Dr. John P Magufuli,
S.l.p.. .....
Ikulu, Chamwino,
Dodoma.
Mpendwa Mheshiwa rais,
YAH. MAOMBI YA KAZI NDOGO AMBAYO ULIMUAHIDI TUNDU...
Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi, .Mahakama ya haki hufuatwa na wenye mikono safi. Hili halihitaji ufafanuzi, linajieleza na linaeleweka. Ila tu kwa...
Kuna tabia imezuka ya baadhi ya vijana waliozaliwa juzi hasa miaka ya 90 hasa waliokaribu na watawala na chama tawala CCM na baadhi walioaminiwa kushika madaraka kujiona kuwa wao ndio Tanzania...
Baada ya Bunge zima sasa kuwa ni Bunge la wana-CCM,wenzetu hawa wanaonekana bado kutoridhika na hata kuonekana kuumizwa na uwezekano wa wapinzani kuwaachia hata vile vite 4 au 5 vyote viwe vyao...
Mwamba ana mzigo mzito kipindi hiki. Anatakiwa afanye maamuzi magumu ambayo yatakuwa kufa au kupona kwa Chadema.
Wakubali, wakatae, huu uchaguzi umekwisha na hakuna vikwazo wala matamko ya...
ASKOFU GWAJIMA NA MATUMIZI YA TASWIRA ZA MBWA KUBWEKA NA JABALI.
Naandika Magoda Jr.
📌 Kwa wale ambao hawakuwa wanadharau kipindi cha somo la kiswahili hasa katika mada ya fasihi basi neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.