Tanzania's CAG Report; March 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania's CAG Report; March 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Apr 12, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,466
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Niko hapa Dodoma kwenye ukumbi wa mikutano ya waandishi wa habari Bungeni, ambapo CAG, Ludovick Uttouh, anazungumza na waandishi wa habari, kuhusu ripoti yake.

  Kubwa kuliko ni serikali, imelifungua lile fuko kuu la hazina lililoko Benki Kuu ya Tanzania, na kujitotea kutoka fuko hilo, Shilingi, Bilioni 5.8 bila idhini ya Bunge!.

  Kwa lugha rahisi, ni serikali imejichotea fungu hilo na kujitafunia, yenyewe bila kuomba kibali cha wenye fedha zao!.

  Kuchukua kitu bila ruhusa ni wizi, regardless umefanyia nini hicho ulichochukua, hivyo serikali yetu imeiba Shilingi Bilioni 5.8 zetu!.

  Wakuu wa zile oversight commitee za PAC-Cheyo, LAAC-Mrema na POAC-Zitto wapo hapa kutueleza serikali yetu iliyafanyia nini mabilioni hayo?.

  Pascal.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Poa pasco! hongera kwa niaba ya jf.
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  5.8b hizo pesa ni nyingi sana lazima bunge likomae awajibike mtu hapa. Nchi ina matatizo lukuki lakini pesa zinafujwa kama watu hawana akili sasa ni wakati wa bunge letu kuonyesha umakini katika kuisimamia hii serekali chovu.
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  nchi hii ina viongozi wapumbavu sana...ni sawa na wewe pasco uvue shati lako kisha ulitundike dirishani halafu uzunguke nyuma ya nyumba na kuanza kunyata taratibu kuelekea pale ulipolitundika shati..kisha ukalikwapua na kukimbia nalo....
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama mnajichotea hela mnavyotaka kwa nini msiibe? mara kulipa mawaziri wakatishie watu kwenye chaguzi ndogo, mara kutoa rambirambi, mara matembezi. Lazima wachote. Lakini ninahisi watajitetea kwa kivuli cha umeme wa dharura!
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tanzania,ngoja wale tu,natamani ange patikana raisi
  mwenye akili kama zangu.........
   
 7. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Pasco Sioi ameapishwa, mbona hutupi taarifa.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,466
  Trophy Points: 280
  Press conference inaendelea, CAG Ludovic Uttoh anazidi kumwaga madudu ya serikali katika matumizi ya fedha za umma!.

  Kwa kawaida press conference haitakiwi kuzidi one hour!, saa hizi Utouh mwenyewe, ameshakata, one hour, hapa bado Cheyo, Mrema na Zitto!.

  Ikipita saa saba mchana ambayo ni time ya lunch, CAG atawajibika kuwaangalia hawa waandishi utaratibu wao wa lunch unakuwaje, na ndio kwenye matukio kama haya, ule uhalali wa sisi waandishi wa habari nasi tuangaliwe!.

  Kwa waandishi wanaoripoti bunge, nao hukaa muda ule ule kama wa mheshimiwa mbunge anavyokaa kwenye kile kiti chake!, tofauti ya kiti cha mbunge, kinanesanesa na kuzunguluka zunguluka kunakopelekea hata wabunge kusinzia, viti vyetu havinesi, havizungungu wala hatuwezi kusinzia!, hivi nasi si tunastahili kulipwa kama wenzetu?!.

  Endelea kufuatilia ripoti ya ukaguzi!
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,466
  Trophy Points: 280
  Aliyeapishwa ni shujaa Nassari, japo wafuasi wake wengi wamezuiliwa kuingia humu mjengoni, kumbe ile sare ya Chadema ni marufuku bungeni!.

  Baadae leo nitahudhuria tafrija ya bkumpongeza Nasari, nitaiwakilisha jf!
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Mkuu husahau bahasha? wasukuma mikokoteni wasemeje? wataomba wafungiwe viyoyozi ili kukabiliana na jua kali wawapo kazini. ongeza seriousness
   
 11. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hazina ya JF tupe updates
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Shabash! kumbe kweli, gwanda moja = chani kiwiti 30, ccm ikaogopa ikidhani na wageni wanaweza sema siooooooo!!
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unaongelea 5.8billion!
  Tz kwa sasa izo ni ela za kawaida tuu kuiba ndo maana wakaona hamna haja ya kuomba kupitia bungeni!
  Watu nowdays wanapiga atleast 100B
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Yawezekana ndo hizo wabunge walizo kuwa wakijilipa posho
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu tumbo kwanza siyo? Komaa upate habari ya kuandika mkuu vitu vingine vitafuata!

  CAG hana posho labda muombe kwa Spika.
   
 16. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pasco tunafuatilia, haswa hizo report tunazisubiri kwa hamu toka kwako.
  Endelea kutuhabarisha. Hii ndio raha ya JF
   
 17. A

  Awo JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  CAG report, my foot! What for???????????
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Twende mbele turudi nyuma, muulizeni CAG kama pesa imechotwa bila idhini ya Bunge au kwa maana nyingine bila kufuata sheria inakuwaje kwa wahusika? Ama kwa maana nyingine sheria inasemaje kwa mtu aliyehusika kuidhinisha pesa kuchotwa bila kibali cha Bunge?
   
 19. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Thanks Pasco, tumekaa mkao wa kupokea tu!! Mwaga mambo mkuu!
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Penye red


  Habari unazokusanya huko Bungeni unaziuza wapi? Huko unakozipeleka hawakulipi? Kama ni kwa ajili ya JF, tutakufikiria sis member wa JF lakini kama ni kwa ajili ya vyombo huru vya habari sioni sababu ya wewe kutaka kumega kodi zetu
   
Loading...