Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuadimika na kupanda kwa bei ya Saruji nchini. Waziri wa Viwanda ana kazi sana, kuna janga linatunyemelea

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,600
Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye hii nchi, na nimekuwa nikitamani kuona hii nchi siku moja inapiga hatua moja ama nyingine - socially, economically, politically, legally etc, lakini so far, i am disappointed big time.

*****

Kumekuwepo na malalamiko ya kuadimika kwa Cement na kwamba hata inapopatikana bei inakuwa ni juu sana karibia ongezeko la asilimia zaidi ya 55% kulinganisha na bei ya mwanzo (TZS 14,000 mpaka TZS 22,000) huku baadhi ya maeneo yakishuhudia bei ikikaribia TZS 35,000 kwa mfuko.

Wakati huo huo nimeona viongozi wa serikali; wakuu wa mikoa, wilaya, na hata wakuu wa jeshi la Polisi wakisisitiza nyakati tofauti kwamba, watamchukulia hatua yoyote ambaye watamkuta anauza kwa bei kuzidi bei ya awali, yaani TZS 14,000.

**

Kwanza kabisa niseme, serikali inahusika moja kwa moja na huu upungufu tuonaouona, na visababishi vikubwa ni 1) ‘Sera za miundombinu kwenye utawala wa awamu ya tano wa serikali ya Magufuli’. 2) ‘Serikali kufinya jithada za uwekezaji kwenye sekta ya cement’

1... Serikali ya Magufuli, ilikuja na mkazo wa kasi sana wa kuwekeza kwenye miradi mikubwa ya miundombinu hapa nchini.

  • Nyerere Hydropower Plant – USD 3.9 Billion (TZS 9 Trillioni) Timeline > 2019 - 2022
  • SGR Project – USD 14.2 Billion (TZS 32.9 Trillioni) Timeline > 2019 - ?
  • Ubungo Flyover & Tazara Flyover - USD 150 Million (TZS 300 Billion)
  • Salender Ocean Bridge – USD 126 Million (TZS 292 Billion)
  • Kigongo Busisi, Daraja jipya la wami, Ikulu Dodoma, Nyumba za serikali Dodoma n.k
  • Upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege
  • Na tumesikia kwenye hotuba ya Rais leo kwenye ufunguzi wa bunge, inaonekana shuhuli za ujenzi zitaendelea kushamiri miak miwili mpaka mitatu ijayo.

Ukiangalia takwimu, ni kwamba kwa kipindi cha utawala wa Magufuli, sekta nzima ya ujenzi (construction) imeweza kuwa na wastani wa ukuaji mkubwa sana (wastani wa asilimia 17.45% kwa miaka mitano iliyopita), na driver kubwa ikiwa ni hiyo miradi mkubwa ya ujenzi ya serikali.

sekta ya ujenzi.jpg

Kwa sababu, Cement ni mali ghafi muhimu sana katika sekta ya ujenzi, unapokuwa na ukuaji wa kasi sana wa sekta ya ujenzi maana yake unatakiwa kuwa na ukuaji wa kasi kubwa maradufu ya uzalishaji wa Cement ili uweze kuhudumia kikamilifu mahitaji ya sekta ya ujenzi.

Kosa kubwa lililofanyika ni kwamba, serikali wali focus zaidi kutekeleza miradi hii mikubwa ya ujenzi bila kuangalia uwezo binafsi wa uzalishaji wa viwanda vya ndani vya Cement (supply capacity).

Mbali na kutokuangalia uwezo wa uzalishaji wa viwanda vya ndani, ni kweli kwamba serikali haikuwa rafiki kwenye kuhakikisha wanawezesha mazingira ya uwekezaji kwenye viwanda vya cement, ukifuatilia fitina alizofanyiwa mwekezaji Aliko Dangote, hakika hutatofautiana na mimi kwamba kuna mahali serikali haikutimiza wajibu wake kudhibiti uimara wa soko la cement.

Dangote cement fitna.JPG

2014
2015
2016
2017
2018
2019
Uzalishaji wa Cement kwa Tani - Tanzania2,809,1003,134,9004,071,4004,199,9004,509,1006,514,700
Ukuaji wa uzalishaji wa Cement - %n/a
11.6%​
29.9%​
3.2%
7.4%
44.5%​
Asilimia za ukuaji wa sekta ya ujenzi - %n/a
15.9%​
17.8%​
18.0%
17.1%
18.6%​
Wastani wa ukuaji wa pato la taifa (GDP) - %n/a
6.0%​
6.0%​
6.0%​
6.0%​
6.0%​
Multiplier ya ukuaji wa sekta ya ujenzi ukifananisha na ukuaji wa pato la Taifan/a2.652.973.002.843.10

Ukiangali hizo takwimu, viashiria dhahiri vya msukosuko wa cement vilianza kujitokeza kuanzia mwaka 2017 na 2018, ambapo utaona wazi ukuaji wa uzalishaji wa cement ulikuwa kiduchu sana (3.2% kwa 2017 na 7.4% kwa 2018) ukifananisha na ukuaji wa sekta ya ujenzi (18.0% mwaka 2017 na 17.1% mwaka 2018). Kama ni janga basi lilianzia kwenye hii miaka 2 (2017 & 2018).

Ndo mana unaona, pamoja na ongezeko kubwa la 44% kwenye uzalishaji wa cement kwa mwaka 2019, lakini bado bei ya cement ilianza ku-shoot tangu tuanza huu mwaka, ikimaanisha kwamba supply ya cement bado haitoshelezi mahitaji.

Supply of Cement = f(Demand from Government funded projects + Demand from Households + Demand for Export)

Kwa hiyo, tunachokishuhudia kwa sasa kwenye soko la cement ni kwamba, output ambayo inazalishwa na viwanda vya cement kwa sasa, karibu yote inaliwa na mahitaji kutoa miradi ya serikali, na kupelekea kufubaza output ambayo inatakiwa ikauzwe kwenye soko la wananchi.

Ndo mana sasa unakuta kwa sasa, ukienda viwandani wanakuambia bei bado ni zile zile hazijabbadilika za kwenye Tzs 13,500 lakina hawana supply ya kukupa maana yote ipo booked na contractors wa hii miradi ya serikali, matokeo yake Cement pungufu inayoingia kwenye soko la wananchi inagombaniwa na wananchi na ku trigger profit seeking behaviour ya wafanyabiashara ambao wanacapitalise inefficiency ya soko kwenye demand na supply ili kujinufaisha. Kiuchumi.

Serikali amekuwa akitumia nguvu kubwa ya mabavu aliyonayo, kutoa vitisho kwa wafanyabiashara kwamba wao ndo chanzo cha kupanda kwa bei ya cement, na kusahau kabisa kwamba yenyewe serikali ndio imekuwa haitimizi wajibu wake kikamilifu.

  • Haikutathmini uwezo wa uzalishaji wa cement kabla ya kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi, na
  • Ame discourage uwekezaji wa kiwanda kikubwa cha cement cha Dangote, mtu ambaye ana capital muscles za kuwekeza na kuzalisha cement nyingi walau kukidhi mahitaji yaliyopo kwa sasa na yatayojitokeza mbeleni, ukizingatia bado Magufuli anatilia mkazo sekta ya ujenzi.
Hatari nnayoiona kwa miaka miwili au mitatu ikiwa bado kutakuwa kuna crisis ya namna hii inayoendelea kwenye cement, ni kwamba watu na makampuni wataanza kununua cement nje ya nchi, kitu ambacho kitapelekea capital outflow nyingi, kitendo ambacho sio rafiki sana kwa hazina yetu ya fedha za kigeni – maana itabidi utumie reserve yako kununua cement nje, na pia inaweza ku trigger macro-economic imbalances kama kuongezeka kwa inflation na kupanda kwa dola dhidi ya shilingi, ambayo nayo itakuwa ni maumivu kwa serikali maana ita struggle ku service madeni ya nje ya nchi ya dola.

So, ni kwamba kuna mlima mkubwa sana wa kupanda kwa waziri wa ujenzi na viwanda wanaokuja, kuondoa uchafu wa serikali kwenye issue ya cement, ikwezekana, mwekezaji Dangote aitwe na serikali kwa hali ya dharura.

Ni mimi raia mkereketwa wa nchi ya chama kimoja.

N.Mushi
 
Mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake.

Serikali hii ya Bongo haijawahi kumjali mtanzania hivi umesahau habari za korosho, kupanda kwa sukari, mara zote tutasikia tu tumepandisha bei za mafuta lakini hawashushi hata kwa tone
 
Very good analysis of the cement saga. Wataalam wa uchumi wanalijua hilo. Mara tu supply inapokuwa ndogo na mahitaji ya hiyo bidhaa yanaongezeka, bei lazima ipande.

Sasa tukionacho ni kutumia maguvu kuwaambia wafanyabiashara kutumia bei elekezi pasi na kuangalia chanzo cha tatizo lenyewe. Mara nyingi tuna kawaida ya kuangalia wapi tumeangukia badala ya kutizama tulipojikwaa.

Na historia inaonesha katika mambo haya "the controlled price is a price that a commodity is not available"
 
View attachment 1625717

View attachment 1625718

🤔🤔
 
Darasa/Ushauri wa bureee

Namna bora ya kudhibiti upandaji holela wa bidhaa unaofanywa na watu binafsi ni serikali nayo kujihusisha katika biashara (lakini kwa kiwango kidogo) ili ikitokea wafanya biashara binafsi wamepandisha bei kwa tamaa ya kujipatia faida kubwa 'super normal profit' yenyewe serikali inabaki kuuza kwa bei halali, serikali ikifanya hivyo wateja watakimbilia kwa serikali, wafanya biashara binafsi watajikuta wakipungukiwa na wateja, baada ya wafanyabiashara binafsi kukumbwa na kupungukiwa na wateja hurudi wenyewe kwenye bei halali

Copy to:
Waziri mteule wa Fedha & Biashara Dr. Philip Isdor Mpango

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda, Biashara & Masoko atakayeteuliwa
 
Umechambua vizuri sana, labda niongezee kidogo, hapa swali la kujiuliza ni kwanini huo upungufu umekuja wakati huu?

Wakati ule sukari imeadimika tuliambiwa wafanyabiashara walikuwa wanaificha , kwasababu wao walikuwa wananunua kwa bei kubwa ya jumla, halafu wao wakawa wanalazimishwa kuiuza kwa bei elekezi ambayo ilikuwa ya chini.

Jana niliona taarifa mkuu wa Mkoa wa Dsm nae akitangaza bei elekezi ya mfuko mmoja wa saruji ni 15,000/= hapa tujiulize, je, hiyo bei inamlipa mfanyabiashara wa rejareja?

Kosa la msingi nionavyo ni kwa serikali kutokudhibiti bei za bidhaa kuanzia viwandani, wanaponunua kwa jumla mpaka kwa wale wafanyabiashara wa chini (rejareja) hili ndio kosa linalosababisha scarcity ya bidhaa sokoni, kwasababu huwezi kunipangia bei ya kuuza wakati mimi nimenunua kwa bei kubwa.

Pamoja na tatizo la baadhi ya viwanda kusimamisha uzalishaji, serikali lazima ijifunze kukaa chini na hawa wafanyabiashara wakubaliane bei, ili kutomuumiza mtumiaji wa mwisho, lakini pia, kutowaumiza wafanyabiashara wenyewe, kama ikilazimu, wapunguziwe hata kodi ili kufidia hasara wanayoweza kuipata kwa kuuza cement yao kwa bei ya chini ili kumkomboa mtumiaji wa kawaida.
 
Mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake.

Serikali hii ya Bongo haijawahi kumjali mtanzania hivi umesahau habari za korosho, kupanda kwa sukari, mara zote tutasikia tu tumepandisha bei za mafuta lakini hawashushi hata kwa tone
Yaah ni kweli mkuu na ndio wametufikisha hapa, yanayotokea kote kuanzia kwenye sukari na sasa kwenye cement ni matokeo ya policy za serikali.
 
Very good analysis of the cement saga. Wataalam wa uchumi wanalijua hilo. Mara tu supply inapokuwa ndogo na mahitaji ya hiyo bidhaa yanaongezeka, bei lazima ipande.

Sasa tukionacho ni kutumia maguvu kuwaambia wafanyabiashara kutumia bei elekezi pasi na kuangalia chanzo cha tatizo lenyewe. Mara nyingi tuna kawaida ya kuangalia wapi tumeangukia badala ya kutizama tulipojikwaa.

Na historia inaonesha katika mambo haya "the controlled price is a price that a commodity is not available"
Sentensi yako ya mwisho ndo umemaliza kila kitu mkuu, 'kudos'. Ukishaanza kuona matamko ya kujaribu ku control bei, ujue kabisa kuna uhaba. Na hapo ndipo serikali inapoharibu kabisa, wao wanapenda kunyooshea wenzao vidole wakati wao ndio wameshindwa kutimiza wajibu wao. Inatia huzuni sana
 
Darasa/Ushauri wa bureee

Namna bora ya kudhibiti upandaji holela wa bidhaa unaofanywa na watu binafsi ni serikali nayo kujihusisha katika biashara (lakini kwa kiwango kidogo) ili ikitokea wafanya biashara binafsi wamepandisha bei kwa tamaa ya kujipatia faida kubwa 'super normal profit' yenyewe serikali inabaki kuuza kwa bei halali, serikali ikifanya hivyo wateja watakimbilia kwa serikali, wafanya biashara binafsi watajikuta wakipungukiwa na wateja, baada ya wafanyabiashara binafsi kukumbwa na kupungukiwa na wateja hurudi wenyewe kwenye bei halali

Copy to:
Waziri mteule wa Fedha & Biashara Dr. Philip Isdor Mpango

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda, Biashara & Masoko atakayeteuliwa
Ndugu yangu, achana na huo ushauri wa waziri, hicho kitu kaiwezekani milele... tumeshindwa enzi za mwalimu na haiwezi kufanikiwa hata sasa hivi. Ukiona matamko kama haya, ni kwamba, tayari watu wameishiwa sera... haiwezekani haiwezekani haiwezekani na haitakaa iwezekane. Ingewezekana tusingekuwa hapa tulipo maana Nyerere aliifanya kikamilifu lakini alishindwa vile vile.
 
Umechambua vizuri sana, labda niongezee kidogo, hapa swali la kujiuliza ni kwanini huo upungufu umekuja wakati huu?

Wakati ule sukari imeadimika tuliambiwa wafanyabiashara walikuwa wanaificha , kwasababu wao walikuwa wananunua kwa bei kubwa ya jumla, halafu wao wakawa wanalazimishwa kuiuza kwa bei elekezi ambayo ilikuwa ya chini.

Jana niliona taarifa mkuu wa Mkoa wa Dsm nae akitangaza bei elekezi ya mfuko mmoja wa saruji ni 15,000/= hapa tujiulize, je, hiyo bei inamlipa mfanyabiashara wa rejareja?

Kosa la msingi nionavyo ni kwa serikali kutokudhibiti bei za bidhaa kuanzia viwandani, wanaponunua kwa jumla mpaka kwa wale wafanyabiashara wa chini (rejareja) hili ndio kosa linalosababisha scarcity ya bidhaa sokoni, kwasababu huwezi kunipangia bei ya kuuza wakati mimi nimenunua kwa bei kubwa.

Pamoja na tatizo la baadhi ya viwanda kusimamisha uzalishaji, serikali lazima ijifunze kukaa chini na hawa wafanyabiashara wakubaliane bei, ili kutomuumiza mtumiaji wa mwisho, lakini pia, kutowaumiza wafanyabiashara wenyewe, kama ikilazimu, wapunguziwe hata kodi ili kufidia hasara wanayoweza kuipata kwa kuuza cement yao kwa bei ya chini ili kumkomboa mtumiaji wa kawaida.
Sio kwamba upungufu umekuja sasahivi, ni kwamba tu sasa hivi habari ndo imelipuka.. ki ufupi kama ni uhaba ulianza kujitokeza tangu 2017, lakini ilikuwa inakuwa slowly.. so kuanzia mwaka jana ndo intensity imeanza kuwa kubwa.. hata ukiangalia bei ya cement ya mwaka 2015 au 2016 ilikuwa ndogo sana kulinganisha na bei ya mwaka 2019 na 2020 ambayo tunaiona sasa hivi, meaning bei imekuwa ikipanda gradually kwa kipindi chote hicho wakati dynamics zikijaribu demand dynamics zikitafuta supply.
 
Back
Top Bottom