Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

Taisho fuyaki

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
6,990
2,000
Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu.

Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi.

Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa hautavumiliwa.

Pili kipindi Cha bunge kilileta mvuto sana kwahiyo vigazeti vyenu viliuzauza kipindi cha bunge kwasasa andikeni mmeumia maana ile kamati kuu ya CCM pale bungeni yenyewe ni ndioooooooo. Wakikosoa kwa makelele na hoja kuntu Kama za kina Lissu basi watakuwa wanaigiza.

Nazipa pole media za bongo hasa magazeti kwa JamiiForums sina shaka itaendelea kung'aa kwasababu ya nature yake ambayo ni user-generated content.

Media zilizomsifia Magu kifo chenu kipo km 2 toka hapa tulipo.
 
Taisho fuyaki

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
6,990
2,000
Unadhani Ni watanzania wangapi wanauhitaji wa haya uliyoyaandika.ungeniambia magazeti ya michezo kusurvive ningekuelewa.
Mimi nitanunua tu kwani kuna vitu muhimu kama matangazo ya tenders matangazo ya kupotelewa vitu, hati za watu kuitwa kwenye mashauri nafasi za kazi matoleo maalumu taarifa za kibenki kila robo mwaka nk bila kusahau kusoma nyota
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,878
2,000
Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu.

Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi.

Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa hautavumiliwa.

Pili kipindi Cha bunge kilileta mvuto sana kwahiyo vigazeti vyenu viliuzauza kipindi cha bunge kwasasa andikeni mmeumia maana ile kamati kuu ya CCM pale bungeni yenyewe ni ndioooooooo. Wakikosoa kwa makelele na hoja kuntu Kama za kina Lissu basi watakuwa wanaigiza.

Nazipa pole media za bongo hasa magazeti kwa Jamiiforums Sina Shaka itaendelea kung'aa kwasababu ya nature yake ambayo ni user generated content.

Media zilizomsifia Magu kifo chenu kipo km 2 toka hapa tulipo.
Zife tu, tubaki na TBC peke yake kama mwaka 1961.
Haya ndio maendeleo bila vyama
 
Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,304
2,000
Ndani ya Se
Mimi nitanunua tu kwani kuna vitu muhimu kama matangazo ya tenders matangazo ya kupotelewa vitu, hati za watu kuitwa kwenye mashauri nafasi za kazi matoleo maalumu taarifa za kibenki kila robo mwaka nk bila kusahau kusoma nyota
Ndani ya Sentensi ulizoandika naona kabisa kuwa hata Kampuni huna ,sembuse kufuatilia tender!
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
2,924
2,000
Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu.

Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi.

Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa hautavumiliwa.

Pili kipindi Cha bunge kilileta mvuto sana kwahiyo vigazeti vyenu viliuzauza kipindi cha bunge kwasasa andikeni mmeumia maana ile kamati kuu ya CCM pale bungeni yenyewe ni ndioooooooo. Wakikosoa kwa makelele na hoja kuntu Kama za kina Lissu basi watakuwa wanaigiza.

Nazipa pole media za bongo hasa magazeti kwa JamiiForums sina shaka itaendelea kung'aa kwasababu ya nature yake ambayo ni user-generated content.

Media zilizomsifia Magu kifo chenu kipo km 2 toka hapa tulipo.
Kweli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom