Nimeshangaa kuona Mwenyekiti wa Jumuia ya wanawake CCM hawapo Bungeni?
Nilifikiri wao UWt ndiyo wanapeleka majina ya viti maalum na Mwenyekiti na katibu ndo majina ya kwanza?
Kama zamani wakati...
Hapa lilikuwa sherehe za kukabidhiwa msaada wa vifaa vya kijeshi vyenye thamani ya Dola milioni 18 (sawa na shilingi bilioni 41.6) kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa Kaimu Balozi wa Marekani Bi...
Kwako ndugu Zitto
Kwako ndugu Maalim
Wazanzibari wameona!
Afrika imeona!
Dunia Imeona!
Dhulma ya kutisha waliyofanyiwa Wazanzibari, torture, mauaji, uporaji wa dhahiri haki ya wazanzibari...
Ni ushauri tu Uchaguzi umekwisha na maisha inabidi yaendelee huku kasi ya kujiletea maendeleo ikiongezeka.
Rais Magufuli alisema hatafanya teuzi mpya kwa maRC, maDC, Wakurugenzi nk nami...
Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdallah ametoa Wiki moja kwa Taasisi za Ardhi, Mipango Miji pamoja na Wakala wa Ujenzi Zanzibar kukamilisha utaratibu utakaowezesha kuanza kwa...
Kushindwa kwa Donald Trump itakuwa pigo kwa Afrika. Kwa nini nasema hivyo Trump anapinga ushoga, Trump aliwambia marais wa Afrika wajitegemee, Trump alikataa kushambulia mataifa machanga kisa...
HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza -...
Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu...
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze...
Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba.
Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini...
Kama sikosei, hata kanuni za Mjengoni haziruhusu kumshambulia mtu ambae hayumo mule ndani kwani hatokuwa na nafasi ya kujibu. Hata hivyo, naomba niwaambie mapema kabisa kuwa, kanuni hii...
Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo...
Tundu Lissu kama tunavyojua na kuona leo ameondoka Tanzania na kuelekea uhamishoni.
Lakini siku za Karibu Hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu alimtaka Mh. Tundu Lissu kutokea mahakamani...
CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo...
Mara mbili katika matukio muhimu nchini, Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa ushauri ambao huenda tumeanza kuusahau.
Moja ni pale alipowashauri wa Tz kuukubali mfumo wa vyama vingi vya kisiasa -...
DIWANI WA CHADEMA AMWANDIKIA UJUMBE LISSU.
Lissu ukifika Ubelgiji waulize kaburi la Lumumba liko wapi?.
Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi...
Duniani kote uende Ulaya, Amerika au Marekani ya Kaskazini wazee huwa ndio washauri na ndio huwa wanatoa maoni juu ya suala lolote muhimu juu ya mustakabali wa taifa au nchi yao.
Mzee Lyatonga...
Kichwa cha habari hapo juu kimejitosheleza.
Viongozi wetu wa kiroho wanapaswa wafanyiwe maombezi maalumu maana wameacha misingi yao ya kiimani badala yake wamekuwa wakifanya matendo yasiyo...
Baada ya yaliyotokea katika uchaguzi mkuu
(a) Vyama vya upinzani vinaweza kufanya nini ndani ya nchi (internally) ili kupinga matokeo na kushinikiza uchaguzi mpya chini ya tume huru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.