1. Sikuwahi kusoma sehemu kuwa kulikuwa na kuhamishwa kwa binadamu kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa minajiri ya kuwatumia kama mashine isipokuwa waafrica.
2. Sikuwahi kusoma sehemu binadamu kuuzwa na kuundiwa sheria ya utaweza kuwa huru kama ukilipa fidia ya uhuru wako isipokuwa kwa watu weusi
3. Sikuwahi kusoma history ya kuwa watawaliwa walinyanyaswa na kuona mali zao zikivunwa na kupelekwa nje isipokuwa Africa.
4. Sikuwahi kuona binadamu wanabadirishwa majina yao ya asili na dini na lugha zao za asili kwa nguvu isipokuwa kwa waafrica.
5. Sikuwahi kuona jamii ya binadamu wamewekewa sheria ya kutoruhusiwa kujifunza kusoma wala kuandika kwa muda wa miaka mia tano.
6.Sikuwahi kuona wala kusoma sehemu popote duniani watu wananyanyaswa na kuingiliwa mambo yao ya ndani ya nchi kwa kisingizio cha kunyimwa misaada isipokuwa Waafrica.
Hivi tulishawahi kujiuliza wamarekani na ulaya wanatuibia kiasi gani kwa kisingizio cha misaada?
Tulishawahi kujiuliza wamarekani hawachimbi Tanzanite kwa mfano lakini inauzwa marekani kwann hawazuii kama wenyewe ni wapenda haki na sio wezi?
Nadhani kwa tafsiri hizi tusiulinganishe ugomvi wa umiliki wa visiwa na ardhi wa huko ulaya na maafa waliyotufanyia kuanzia kiroho kiakili kimwili na kiuchumi.
Kama Uingereza iliitawala india kama ilivyotutawala sisi au kama japan ilivyoitawala china basi tungekuwa na uchumi mzuri na watu wanaojielewa. Lkn sisi tulifanyiwa maafa yanayohitaji washinikizwe kufanya reparations na sio donors na kutunyanyasa.
Tunaanza na Tanzania kama watanzania tutasimama kukataa kila aina ya wizi unaifanywa na marekani na mashirika yake ya kitapeli kama Mcc ili kutuibia watanzania na Waafrica.
Tusimame kama watanzania ili tujitegemee, tumuunge Mh Rais mkono kwa kufanya kazi na kulipa kodi.
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania.