Honestly, kungekuwa na "room" ya "legal challenge" ya matokeo ya kura za Urais, Magufuli (JMT) Hussein Mwinyi (Z) wasingekuwa Marais sasa...!!

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Kwa John Pombe Magufuli (CCM) angekuwa "disqualified" kuwa kiongozi tangu wakati wa kampeni zake kwa sababu kampeni yake kwa zaidi 50% ilikuwa inakiuka maadili na kanuni za uchaguzi wa mwaka 2020...!

Ukija kwenye uchaguzi wenyewe, ndiyo usiseme kabisa. Matokeo yote ni uongo na udanganyifu...

Honestly, wapiga kura wote, wananchi wote hamasa yao, ndoto zao, matamanio yao na morali yao iligeuzwa kuwa ujinga na uwendawazimu na utawala wa Magufuli na CCM...!

This is too bad and there are must be some serious consequences for some people to face sooner or later...

Kwa, Hussein Mwinyi angefungwa na rigging & fraudulent za mchakato mzima wa uchaguzi..

Kwa kifupi kabisa hawa wote HAWAKUSHINDA UCHAGUZI HUU. Wamejiweka wenyewe kwa kutumia maguvu tu ya jeshi na polisi. Hakukuwa na uchaguzi...

Laiti kungekuwa na "room" ya kwenda mahakamani kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi huu na mahakama zikawa "free" kufanya kazi yake ya utoaji haki, kesi hii ingeishia masjala tu na kuamuriwa..

Ni kwa sababu ushahidi wa kuthibitisha haya ni Mkubwa na uko wazi mno...!
 
Sawa Wapinzani wangeshinda ! Ila Yule Mbelgiji tena Bingwa wa Sheria si aliaminisha kwamba akiibiwa kura atawaingiza watu barabarani ,mara hapatakalika ikawaje tena ! Maana alipokelewa na maelfu wakati wa kuja ! Ila kaondoka hakuna hata aliekua na time nae! Uchaguzi umeshakwisha kesho Chuma kinahutubia Taifa!.
 
Mmoja kapata 28% na mwenzake 12%. Ila usihofu yajayo yanafurahisha!!

Mzungu ni mzungu tu...aliyekutangulia kwa miaka zaidi ya 700 yaani karne 7 basi muheshimu sana.

Maana haya tutayofanya sasa hapa wao yalifanyika kwao karne ya 13.
 
Kuna legal room ya kupinga matokea ya Ubunge. Umeona kesi hata moja imefunguliwa mpaka sasa?
 
Kuna legal room ya kupinga matokea ya Ubunge. Umeona kesi hata moja imefunguliwa mpaka sasa?
Mhimili uliojichimbia zaidi kwenye awamu hii umeigeuza mahakama kuwa ni kama Kigoda cha kusimamia ili kubaka haki za msingi za wananchi.
Kwenda kushitaki kwenye mahakama hii ya awamu hii ni kwenda kuhalalisha kupokwa haki zako. Bora kufanya struggle kwa mtindo mwingine!
 
Sawa Wapinzani wangeshinda ! Ila Yule Mbelgiji tena Bingwa wa Sheria si aliaminisha kwamba akiibiwa kura atawaingiza watu barabarani ,mara hapatakalika ikawaje tena ! Maana alipokelewa na maelfu wakati wa kuja ! Ila kaondoka hakuna hata aliekua na time nae! Uchaguzi umeshakwisha kesho Chuma kinahutubia Taifa!.
Wewe unaongea nini? Au nawe ni "NANIHII?"
 
Kwa takwimu zipi?? Zile poll za Jf Au za tweet ambazo watu walikua wanatweet yuko Bangladesh au kule Cambodia
 
Subiria mwaka 2090 labda Tundu Lissu anaweza kuwa Rais na wewe ukawa makamu wake. Maana sioni sababu ya wewe kuhangaika na watu ambao hata wangepost hizo nafasi bado wewe usingekuwa na faida nao. Uchaguz umeisha
 
Mtatukana sana, ila awamuhii mtajua kuwa hata pilipili ni mboga. Tulieni muone na vijeshi vyenu vya kishamba. Jeshi lenye kujiheshimu huwajali raia, jeshi la ovyo hulamba miguu ya watawala. Hivi kwa mfano NATO wakasema watie timu kuikomboa hii nchi kwa dhuluma wanazofanya watawala, wa Tz wangapi watawaunga mkono? Naamini zaidi ya 3/4 ya wa Tz watatoa ushirikiano kwa NATO.
 
Back
Top Bottom