Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati umefika sasa tuwe tunawajua watu kwa majina pale wanapotumia ofisi za umma kihuni na kutesa watu bila huruma kwa kisingizio cha sheria. Suala la vijana viongozi wa BAVICHA (Nusrat na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Imejaa mambo mengi sana ya kutimiza kwa miaka 5. Inatia mashaka kuwa huenda akaanzisha miradi mingi sana itakayolazimu aongezwe muda ili aikamilishe mwenyewe vizuri na kwa ubora kama...
12 Reactions
70 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa anatakiwa kuwa balozi ambaye pamoja na kufikiria jibu sahihi katika masuala yote yanayohusu nchi, majibu yanatakiwa kulinda heshima ya nchi yetu...
37 Reactions
103 Replies
10K Views
Msimu wa 2015-20 kulikuwa na wimbi kubwa la wabunge kuunga juhudi tukianzia kwa Mollel (Siha) Lijuakal (Kilombero), Ryoba (Serengeti), Masinji (KM), Issack karanga (Monduli), Silinde (momba)...
1 Reactions
2 Replies
998 Views
Jukwaa la msuguano wa akili na mawazo mbadala kwa kutoa sulushi kwa faida ya wote; Kwa sasa Tanzania ina maadui wengi sana kutoka miongoni mwa Wananchi wake na viongozi wa kisiasa. Maadui wa...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
BARUA YA WAZI KWA SHEIKH ALHAD MUSSA 16 Oktoba 2020 / 29 Safar 1442 Hijria Kwa Sheikh Alhad Mussa Salum Sheikh Mkuu wa Mkoa, Dar es Salaam. Asalaam alaykum, YAH: NASAHA ZA KIISLAMU KUFUATIA...
17 Reactions
43 Replies
8K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali. Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa...
26 Reactions
79 Replies
6K Views
Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa...
32 Reactions
160 Replies
16K Views
Sipendi kuwa mnafiki hata kidogo! Mungu aubariki umoja wa Ulaya EU. Ningepata nafasi ningepiga magoti mbele ya EU na kuwashukuru kwa jinsi walivyoisaidia nchi hii sina la kusema. Tatizo ni...
18 Reactions
34 Replies
4K Views
Salam kwenu wanajukwaa, Kwasasa jukwaani kumekuwa na mijadala mingi kuhusu EU,inashangaza kuona Watanzania wakifurahia ama wakiomba usiku na mchana nchi kuwekewa vikwazo, najiuliza hivi kweli...
20 Reactions
187 Replies
8K Views
EU wametoa hoja zao ambazo ni kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu, polisi kuhujumu uchaguzi, na kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona. Hizi ndio hoja za EU ambazo kaka Msando...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Magufuli nae ameingia kwenye orodha ya walalamikaji wa CCM wanaoijia juu Chadema kuhusu maandamano wanayofanya akisema waache kutoa matusi kwenye mikutano na wanachochea chuki hivyo washindwe na...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Juzi tarehe 13. 11 Rais alitoa hotuba ya ufunguzi wa Bunge Dodoma na kuahidi kuimarisha na kushamirisha sekta binafsi nchini ili iweze kuchangia kwenye ukuaji wa uchumi. Mimi ninakubaliana na...
10 Reactions
126 Replies
8K Views
Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika) Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation."...
5 Reactions
135 Replies
8K Views
Anaandika Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter. "Tupo tayari kwa Uchaguzi. Kwa upande wa majimbo tumeona tunaokwenda kushindana nao. Kwa Kigoma nimesikitika kuwa sauti muhimu...
39 Reactions
174 Replies
22K Views
Wadau hasa wale wa Chama chetu cha CCM, tukubali na tuseme ukweli Uchaguzi umeisha,kuna kitu kimoja kimetuharibia Uchaguzi huu na kuwaweka viongozi wakuu katika wakati mgumu, japo tunajikaza...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mheshimiwa Rais nilipokuwa kidato cha pili katika somo la fizikia nilifundishwa kwamba mwendo wa gari anayeuona vizuri vizuri ni yule aliyeko pembeni na sio yule aliyeko ndani ya gari linalotembea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, hadi sasa chama hicho hakijafanya uamuzi kuhusu ushiriki wake katika uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK) Ametoa kauli...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wadau. Heri ya siku ya jumapili!! Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia 1. Emerson Mnagangwa...
13 Reactions
40 Replies
7K Views
Back
Top Bottom