Magufuli ataka Chadema "washindwe na walegee" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli ataka Chadema "washindwe na walegee"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapotolo, Mar 8, 2011.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Magufuli nae ameingia kwenye orodha ya walalamikaji wa CCM wanaoijia juu Chadema kuhusu maandamano wanayofanya akisema waache kutoa matusi kwenye mikutano na wanachochea chuki hivyo washindwe na walegee.

  Gazeti la Mwananchi la Leo.

  Magufuli nae ajibu hoja asilalamike,
  Inaonekana na yeye ndio ameshindwa na ameshalegezwa na Pinda.
   
 2. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbu ni mbu tu, awe Anopheles au Culex anabaki ni mbu tu. Hematobium na mansoni vyote ni vichocho. Huwezi kumtenga Magufuli kati ya CCM isipokuwa kwa sub-species yake.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mh hapa kazi. Kuna wengi ni pro-Chadema na wakati huo huo ni pro-Magufuli. Sasa sijui hapa wata chagua upande gani? Au watakaa kimya?
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ukiwa pro-CHADEMA at the same time ni pro-Magufuli maana yake wewe ni mnafiki a.k.a bendera ufuata upepo!

  Huwezi kutenganisha Magufuli na CCM! Uchafu wa CCM Magufuli is part of it   
 5. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndani ya ccm hakuna mtu wa kumwamini,wote wachafu 2,ila kuna wa2 wanapenda sifa kama Mwakyembe,6,magufuli,kilango nk,ukweli ni kuwa ni wanafiki.CCM ngozi ya kitimoto,haifai kwa ngoma
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Lakini ni kweli kwamba CCM hakuna mwadilifu hata mmoja? nadhani wapo wanaogopa tu kutoka huko wasijekolimbwa, CCM ni zaidi ya tuijuavyo. Magufuli naomba kudeclare kwamba nilikuwa shabiki wake, lakini kwa hili naanza kuamini CCM ina wenyewe.
   
 7. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Magufuli,Sitta,Mwakyembe wote ndio wale wale tu,kama wangekuwa ni watu makini wasingetetereka kuikemea serikali yao na chama chao ila ni watu wa kuwahadaa wananchi na kujitafutia cheap popularity tu,kwani ni chuki zao za kichama ndio muda mwingine hupelekea kuropoka ropoka nakuonekana ni wakemea ufisadi.
  "Mtu yeyote anayejifanya hapendi ufisadi lakini yumo ndani ya mfumo wa kifisadi basi mtu huyo pia ni fisadi tu"
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Huyu Magufuli naona kama anataka kuiharibu CV yake kwa kujishuhulisha na kuwaingilia wanaChadema katika mikutano yao, yeye aendelee na bomoa bomoa yake tena naona hii spead yake Mizengo Pinda kashampiga stop!
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Masikini magufuli, hata wewe umeshakuwa mtu wakuambiwa useme nini?
   
 10. coby

  coby JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio kaambiwa mzee, huyo kachanganyikiwa baada ya kuona CHADEMA wameshamwaga sumu kwake CHATO na watu hawamfagilii no more ndio maana kakurupuka na kuonyesha the TRUE Magufuli
   
 11. coby

  coby JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Du! Lazima utakuwa Doctor tu!!
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wananchi kazi tunayo! Naona viongozi wanachanganyikiwa sasa kama wameanza kukemea kama wachungaji hii tena siyo siasa ni vurugu kubwa
   
 13. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Magufuli, Magufuli!
  1.Ni m2 anayependa kukurupusha waandishi wa habari ili kupata umaarufu wa ghafla kama mmoja alivyosema. Ni kweli kwamba HANA UWEZO AMBAO WATU WENGI WANAFIKIRI ANAO.
  Mfano; Alipokuwa waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi, aliwaondoa watu waliopangisha nyumba za NHC na kuwarudisha wengine. Wote walikuwa waTZ ila tofauti ya waliofukuzwa humo na hawa wapya waliopewa fursa ni...
  Kama alikuwa na uwezo angekuwa na angeacha mikakati ya kujenga na kuboresha nyumba za makazi kama alivyofanya mwl J.K. zamani hizo ambapo mapato ya serikali hayakuwa kama leo.

  2. Akiwa wizara ya... mifugo na uvuvi.
  Ili kupata "umaarufu" alikamata ile meli moja ya "majangili" wa nje waliokuwa wakiendelea ku2ibia. (note: majangili hawa na meli hizi zipo nyingi sana katika bahari ye2 na serikali inafanya maigizo).
  Pamoja na hivyo Magufuli hakuweka mikakati ya "kuwawezesha waTZ kuvua samaki" na matokeo yake ni kuwa "wengi wa samaki wanaouzwa pale SOKO LA FERRY wanatoka NJE YA NCHI". Samaki hawa wanaletwa kwa "meli kubwa" ndani ya makontena. Samaki hawa wanatokea nje especially India ikimaanisha Indian Ocea ambayo hapa kwetu "bahari ni hiyo hiyo".
   
 14. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kweli huu ndio familia ya bata watoto mbele mama nyuma yaani alichosema mkuu wote wanaelekea humo humo. Hawana jipya kwani mtoto akisaidia kama hawatamtoa, watamtoa kwa harufu.
   
 15. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  CCM bana hawaishiwi viroja. Yani yule mnukuu biblia wao MAKAMBA KAPUMZIKA ANAIBUKA MWINGINE.....Tusubiri kama ameanza na hiyo salam ya wapendwa soon ataanza kunukuu vipengele vya Biblia kama katibu wake Makamba.
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  word,..siku zote nimekuwa nikisema magufuli ni walewale tu
   
 17. D

  Do santos JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kila atakaye kosoa cdm ni mkosaji hana akili tena ni fisadi. Hiki ni chama kutoka mbinguni,ambacho hakikosei?Au kwa sababu kinasapoti ya wale jamaa wasiomtambua meya wa arusha,kiasi wafuasi wake waamini kila kitu
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wote wameishalogwa, kwisha kazi. hawaeleweki kabisa.:hand: ccm bye
   
 19. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  mungu mkubwa kama ameokoka maana kuna hadhithi wanayohusishwa na sababu za kuhamia chato na uchawi mie simo
   
 20. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sikuwahi kumuweka Magufuli katika watu waadilifu toka ampe mimba mtoto wa rafiki yake, agawe nyumba za serikali kwa upendeleo na kumpa huyo hawara yake na kaka yake wakati wakiwa pasipo kuwa na sifa za kupewa nyumba hizo.

  Magufuli ambaye hakuwawezesha wavuvi, hakuwatafutia soko wavuvi zaidi ya kukamata vyavu za korokoro na kukamata samaki tusizokuwa nauwezo wa kuvua kwasababu ya vitendea kazi duni.

  Kizuri afanyacho mwache afanye maana ni wajibu wake lakini sio muadilifu kama wengi wanavyo mnadi
   
Loading...