Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,831
Anaandika Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter.

"Tupo tayari kwa Uchaguzi. Kwa upande wa majimbo tumeona tunaokwenda kushindana nao. Kwa Kigoma nimesikitika kuwa sauti muhimu kama Nsanzugwanko, Serukamba na Hasna hawatakuwapo Bunge la 12. Kwa Nchi uzoefu wa Mzee Chenge tutaukosa hasa kipindi hiki watu wanataka kubadili Katiba."

Screenshot_20200820-172253.png

My Take; naanza kupata mashaka na upinzani wa Zitto. Huyu Chenge si ndio alimtaja kuwa ni fisadi papa huyu?
 
Back
Top Bottom