Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina...
ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA
Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya.
Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo.
Pia wanajiepusha na lawama...
Baada ya mbilinge mbilinge za uchaguzi mkuu na kutokea yaliyotokea, wale wote waliokua na hamu ya kuona mabadiliko tulibaki na mfadhaiko. Ila kwa hili la Halima Mdee na BAWACHA ndio limekuja...
Anguko na kifo cha Chadema kilitabiriwa tangu mwaka 2015 pale wanasiasa wanaotanguliza matumbo yao mbele, walipomuweka mgombea ambaye kwa wakati huo alikuwa hakubaliki hata kwa kutumia pesa na...
Wanabodi,
Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema.
Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho...
Katika mahojiano aliyofanya leo na VOA, Lissu amekiri kuwa Watanzania wamempuuza kwa kutokuandamana pamoja na yeye kutoa wito huo kwa nguvu zote.
Amesema hata kabla ya uchaguzi aliwahimiza...
Moyo wa mwanamke ni dhaifu sana!! Kuliko Wa Mwanaume!! Hebu tuishi na hilo andiko kuanzia leo.
Tunachokosea huwa ni kuwaona wanasiasa kama malaika waliotumwa kutuokoa tunasahau kwamba wao pia...
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021
Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la...
Kuna jambo sio la kawaida linaendelea kwa sasa. Baraza la Mawaziri kwa Serikali yeyote ndio timu ya nchi katika utawala na chombo muhimu sana katika maendeleo ya nchi.
Lakini jambo la ajabu ni...
Mkuu wa wilaya na mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya nyan'gwale mkoa wa geita, tatueni tatizo la barabara ya kutoka njia kuu ya msalala mwanza kwenda kijiji cha ifugandi.
Hakuna sababu ya wananchi...
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameshauri kufanyika kwa mazungumzo ili kupata mwafaka wa kitaifa utakaoliwezesha taifa kwenda mbele baada ya kuwapo kasoro mbalimbali katika...
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa...
Askari hawaoni tabu kumuua Raia mwenzao ambae hana silaha mwenye mawazo tofauti na watawala. Hiyo imegeuka kuwa fasheni yetu sasa Afrika Mashariki.
Viongozi wetu ni kama vile wanatafuta Uhuru...
Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya mkutano na wakuu wa mikoa wote kwa njia ya video na kuwaagiza wakague maghala ya mawakala wa saruji na wakiwakuta wamerundika mzigo wa cement wawakamate na...
Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa...
Katika jitihada za kuondoa picha ya kuwa na Bunge la chama kimoja,na kuondoa dhana inayojengeka kwa kasi sasa kwamba demokrasia sasa imekufa, watachofanya hawa mabwana ni kutuletea kitu...
Katibu Tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds TV akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani CHADEMA na...
WanaJF.
Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na...
Asilimia 99 ya Wabunge ni wa CCM najua jinsi gani mheshimiwa Rais unapata changamoto kuchagua Mawaziri.
Mheshimiwa Rais wala usiwe na haraka. Chagua taratibu sana. Wapitie hawa wabunge mmoja...
Kwa kauli zake nadhani anamtafutia janga Rais na Watanzania wote kwa ujumla.
Kama kauli hiyo haijatokana na msimamo wa pamoja wa Serikali, ambao nilitarajia utoke baada ya Kikao cha Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.