Waogope sana Makachero wenye haiba ya kucheka; Emerson Mnagangwa, Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Amani iwe nanyi wadau.
Heri ya siku ya jumapili!!

Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia

1. Emerson Mnagangwa

Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo aliwai kuwa Waziri na Mkuu wa Usalama wa Zimbabwe. Huyu aliishi na Mugabe Kama mtu loyal sana kwake. Mugabe alivyoanza ujinga alianza mipango ya chini ya kumuondoa Mugabe ila haiba yake ya kucheka na kutabasamu vilimfanya Mugabe ashindwe kumgundua.
Baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo akiwa makamu wa Raisi alishirikiana na mshirika wa Mugabe China kumuondoa Mugabe madarakani. Hadi Mugabe anatoka madarakani hakuamini kuwa kachero mbobezi Mnagangwa ndo amemtoa madarakani.

Kwenye speech yake ya kwanza baada ya kumpindua Mugabe alisema ameongea kwa kirefu na kupongezwa na swahiba wake Jakaya Kikwete😀

2. Jakaya Kikwete.
Huyu watanzania wanamjua sana anakuchekea vizuri nje ila hujui analokuwazia ndani. Lowassa alichekewa sana, aliachwa afanye kila kitu na siku ya mwisho hakuamini alichokuja kukiona. Hiyo ndo kikwete

3. Bernad Camilius Membe.

Huyu kama Kikwete na Mnagangwa nae ana tabia zinazoendana nao. Ana haiba ya kucheka na kufurahi muda wote Ila hujui anakuwazia nini.

Leo nitaishia hapa sitamuongelea sana ila naisi Kuna watu walifikiri wameweza kumpandikiza mahali kumbe waliribuniwa na haiba yake. Alisema kama masikhara atafunga Goli dk ya 89 kwenye uchaguzi huu. Naisi sasa anaelekea kufunga

Poleni sana CCM , Poleni sana wana Lumumba😂😂😀
 
R.I.P Mkapa japo alituita malofa. Lakini ndo angepambana kumpigia kampeni JPM saivi JPM anapigiwa kampeni na wasanii na wanafunzi primary na secondary (under 17) ndo mtaji wao.

Kikwete alimchekea magu akajua atazunguka nae Tz nzima.

Nashauri NEC wakifanikiwa kuchakachua ukapite wale wanafunzi waliokuja kujaza uwanja waachishe shule uwape vyeo Kama kawaida yako.
 
Unajaribu kuandika mambo ambayo yapo juu ya uwezo wako wala wewe mwenyewe huyaelewi
This pure insanity
"This pure insanity"
Unatuharibia lugha yetu wewe dada wa kihutu!
Huna tofauti na mwenyekiti wako wa "Of course people used to die in the lake"
"I tried to preach but I can't reach u"

Mna matatizo sana nyie majizi wa ccm
 
Amani iwe nanyi wadau.
Heri ya siku ya jumapili!!

Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia

1. Emerson Mnagangwa

Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo aliwai kuwa Waziri na Mkuu wa Usalama wa Zimbabwe. Huyu aliishi na Mugabe Kama mtu loyal sana kwake. Mugabe alivyoanza ujinga alianza mipango ya chini ya kumuondoa Mugabe ila haiba yake ya kucheka na kutabasamu vilimfanya Mugabe ashindwe kumgundua.
Baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo akiwa makamu wa Raisi alishirikiana na mshirika wa Mugabe China kumuondoa Mugabe madarakani. Hadi Mugabe anatoka madarakani hakuamini kuwa kachero mbobezi Mnagangwa ndo amemtoa madarakani.

Kwenye speech yake ya kwanza baada ya kumpindua Mugabe alisema ameongea kwa kirefu na kupongezwa na swahiba wake Jakaya Kikwete😀

2. Jakaya Kikwete.
Huyu watanzania wanamjua sana anakuchekea vizuri nje ila hujui analokuwazia ndani. Lowassa alichekewa sana, aliachwa afanye kila kitu na siku ya mwisho hakuamini alichokuja kukiona. Hiyo ndo kikwete

3. Bernad Camilius Membe.

Huyu kama Kikwete na Mnagangwa nae ana tabia zinazoendana nao. Ana haiba ya kucheka na kufurahi muda wote Ila hujui anakuwazia nini.

Leo nitaishia hapa sitamuongelea sana ila naisi Kuna watu walifikiri wameweza kumpandikiza mahali kumbe waliribuniwa na haiba yake. Alisema kama masikhara atafunga Goli dk ya 89 kwenye uchaguzi huu. Naisi sasa anaelekea kufunga

Poleni sana CCM , Poleni sana wana Lumumba😂😂😀
Kama wamfananisha Jakaya Kikwete na Bernard Membe basi hujawasoma uzuri.

Ni kweli haiba ya JK ni ucheshi lakini si Mbembe.

Pia mwelewe uzuri Membe na ujumbe wake wa goli la dk ya 89.

Wafahamu ni nani back 4 wake na wachezaji wenzie wa kiungo walo nyuma yake?

Tafuta alichoongea Nape kule kwao juzi kati utaelewa.
 
Aliongea nini?
 
Kwakweli umechemsha lakini katika kuleta hoja yako nimefahamu kuwa CCM kweli ni jikoni wanatengeneza watu MAKINI NA HODARI na bado wanao watu wengi na wenye kuwazidi hata hao uliowataja.

October 28th kura zote ni kwa JPM Mzalendo wa kweli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ccm iwe makini na ccm wa zamani mpaka pale ccm ikishinda. Wale wanaweza Fanya lolote.
 
Nikuulize wewe, unajiskiaje mtu uliyesema hawezi kurudi na akirudi hawezi tena kuwa active politician kumuona akiwa very active kwenye siasa pamoja na ulemavu mliompa hadi sasa anaenda kumshinda mgombea wenu Magufuli ?
Vipi tundu hajambo? Ameamkaje leo?
 
Back
Top Bottom