Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu ahamie upinzani akitokea CCM mzee Mrema hajawahi kuyumba wala kuyumbishwa. Mzee Mrema ndio mpinzani wa kweli na siyo msaliti hata Tundu Lissu ameiga style yake ya kuunga mkono mgombea...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama wanajamvi mnafuatilia vema siasa ndani ya chadema mtagundua kuwa siasa zake zinapelekwa kwa nguvu ya matukio. Mfano ni mwaka 2009/2010 kulipokuwa na ufisadi. Chadema kilikwenda na nguvu hiyo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kitendo cha Lissu kufanikiwa kuingia nchini na kugombea Urais na kisha kupata uungwaji mkono mkubwa kimegonga nyundo katika bongo za Wanasheria wasiozingatia maadili ya kazi yao na Sasa vijana wa...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Mbele yetu tunawaona akina mdee na wenzake kama wasaliti wa nafsi zetu lakini tunasau sisi ni wasaliti wa Kwanza kutokea. Toka uchaguzi umalizike tumekaa kimya tukiandika mitandaoni na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi Naomba msiniparure, haya sio maneno yangu ni maneno ya Mwana JF huyu, nimemcopy para materiale, neno kwa neno, bila kuongeza neno, bila kupunguza neno. Man, Kama CCM ikitoka nani...
28 Reactions
100 Replies
10K Views
Spika mstaafu wa bunge mama Makinda amesema wakati umefika wa kuweka ukomo wa mbunge wa viti maalum kuhudumu kwa upendeleo huo. Makinda amedai utaratibu wa viti maalum ulianzishwa ili kuwaandaa...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Yanayoendelea hivi sasa, kwa maana ya matukio ya je tumetoka wapi tupo wapi na tunataka kwenda wapi ndio ya msingi. Fahamuni kwamba hoja zinazoletwa hapa za wanaofikiri kwamba mbona imekuwa hivi...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya...
2 Reactions
290 Replies
25K Views
Hivi inawezekanaje makumi ya wanachama akina mama/ dada wa CHADEMA waende kula viapo vya kuwa wabunge wa viti maalumu [hivi huwa wanamwakilisha nani hawa wabunge wa hivi viti?] halafu katibu mkuu...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Hili la wabunge wa viti maalumu kutinga katika viunga vya Bunge na kula kiapo ni shambulio la fedhea la maisha ya watu. Vyama vya siasa vinapaswa kujua kuwa uwepo wao si kwa maslahi yao tu, kwani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam!. Nikiri wazi nimeshangazwa, kuhuzunishwa, na kushtushwa na habari za wabunge wa viti maalum Chadema walioenda kuapa bungeni leo. Binafsi nimekuwa nikijiuliza, hivi uongozi wa Chadema...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
kwa kipi hasa alichokifanya!? :confused: Hawa wanafiki wa CCM kwa kujibaraguza!! Mbona hawajaandamana kumpongeza Slaa aliyeibua uozo mkubwa ndani ya BOT uliosababisha wizi wa mabilioni ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Ndugu wana-forum hivi viongozi wetu watajua kuwajibika kwa wananchi lini? Au ndiyo yale yale ya kudanganyana majukwaani? Walalahoi na wenye uchungu na ile nchi nafikiri mtaniunga mkono kwa hili...
0 Reactions
166 Replies
32K Views
Mwalimu wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala Prof .Horace Camble alikuwa anatumbia kuwa ili DEMOKRASIA imee Ni lazima kuwe na Civic competence' yaani misingi ya DEMOKRASIA inafaa tu pale ambapo wa...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
LISSU(Opening Remarks) Lissu: Chama chetu cha CHADEMA na chama dada cha ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya uchugazi huu, tumekataa kushiriki kwenye bunge au serikali za mitaa kwani...
32 Reactions
179 Replies
21K Views
Huyu mwanasheria mkuu wa CHADEMA eti anadai kuwa anapinga mfumo uliomweka rais Magufuli madarakani. Cha ajabu ni kwamba hicho chama chake kimeshiriki chaguzi zote za vyama vingi tokea 1995 na...
52 Reactions
345 Replies
26K Views
Last time niliandika thread: Je tuna wanasiasa wanaopigania demokrasia au wako kwaajili ya kujinufaisha wenyewe...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna watu wenye mitazamo tofauti kuhusu wabunge wa viti maalumu, CHADEMA, ambao wameenda kuapa kuitumikia nchi yao, bungeni! Kuna wenzangu wa CHADEMA wenye maoni kwamba; huu ni usaliti, au...
0 Reactions
10 Replies
983 Views
Tunaomjua Zitto vizuri na Mbowe hawatuchanganyi kabisa. Mwaka 2010 baada ya UCHAGUZI mkuu wabunge wa upinzani walikusudia kususia bunge kwa sababu kama hizi hizi. Wakati huo Tundu Lissu, Heche na...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Back
Top Bottom