kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,888
Sipendi kuwa mnafiki hata kidogo!
Mungu aubariki umoja wa Ulaya EU.
Ningepata nafasi ningepiga magoti mbele ya EU na kuwashukuru kwa jinsi walivyoisaidia nchi hii sina la kusema.
Tatizo ni ufisadi, rushwa na udikteta ndo vinawafanya msiendelee mngeitumia hiyo misaada ya hawa "watukufu wazungu" tungekua mbali jifunzeni kwa korea ya kusini nyie mataga.
Wazungu wametutendea mengi mabarabara yote haya ni umoja wa Ulaya, miradi yote mikubwa ni umoja wa Ulaya na Marekani.
Mungu awabariki sana wazungu maana wanajua utu na ubinadam na ndo maana hata wakifanya makosa ni rahisi kukiri na kuomba radhi na ni watu ambao wanabadilika wanaamua kulifata jambo wakiona ni sahihi.
Nazidi kusisitiza sana kwamba nitasimama na Umoja wa Ulaya dhidi ya hii serikali ya awamu ya tano.
Niiteni wakala wa mabeberu lakini huo ndo ukweli ningekua na uwezo ningepita magoti mbele ya bunge la umoja wa Ulaya EU na kuwashukuru jinsi wanavyofanya na kutetea demokrasia.
Allah wabariki wazungu wote haswa jumuiya ya EU.
Tena naomba kabisa niwaambie kuchagua kusimama na EU ni kusimama na haki, uhuru, maendeleo na mwanga wa haki wakati kusimama na Mataga na awamu ya tano ni kusimama na giza, utekaji,umaskini, na dhulma. Siwezi kusimamia ujinga kama huo nitasimama na EU maana ndo fungu jema.
Tena cha mwisho zaidi nawaomba wasicheleweshe vikwazo, waweke viwe vikali ili tuwe na akili ya kuamka na kukataa udikteta maana Watz tumelala sana!