Habari wana Jamvi,
CHADEMA watangaza habari mbaya usiku huu.
NUKUU:-
CHADEMA wameongea na waandishi wa habari usiku huu kutoa taarifa kuhusu waliokamatwa leo wakati wameenda kumtoa Mwenyekiti...
Wananchi itakapofika tarehe 25.10.2015 tujitokeze kwa wingi kwa ajili ya kufanya maamuzi sahihi, maamuzi ambayo yatatufanya kujua kwa undani ufsadi wote uliotokea, Mimi nimekwisha Fanya maauzi ya...
Taifa hili tangulilipoachwa na muasisi wa wake mwl nyerere bado halijapata mpinzani wa kweli hasa mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kiutawala,zaidi ya waganga njaa wenzangu ambao...
Profesa Shukrani Elisha Manya, ameapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini, baada ya Francis Kumba Ndulane kushindwa kuapa na kuteuliwa mwingine
Manya ni mbunge wa kuteuliwa aliyeapishwa masaa...
Maalim seif simba wa vita aliyesarenda kirahisi kwa CCM ya Magufuli yes uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchaguzi uliochafuliwa kwa makusudi na watawala baada ya kufanya uchafuzi wakahitaji kuhalalisha...
Baraza la mawaziri la Sasa limepata changamoto na ukosoaji mkubwa kwa mambo makuu matano;
1. Halina Waziri full kutoka Zanzibar
2. Halina uwiano wa jinsia
3. Linatuumiwa kuhusu udini na ukanda
4...
Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila naipenda CHADEMA. Uchaguzi uliopita niliimpigia kura Tundu Lissu na uchaguzi wa 2015 nilimpigia kura Lowassa.
Binafsi naamini kwenye utendaji na uchapa...
Japo kwa miaka mingi Tanzania tunajisema kilimo ni uti wa mgongo, ukweli ni kwamba wakulima katika nchi hii ndio kundi la mwisho kukumbukwa na serikali. Tunafanya maendeleo ya mijini, kununua...
Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa...
Siasa za kimataifa zimebadilika sana tokea kuibuka kwa taifa la China kiuchumi na kutishia uchumi wa muungano wa nchi za Ulaya na Marekani.
Kuibuka kiuchumi kwa nchi ya China kumesababisha mzani...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania hususani vijana wasikubali kurubuniwa na makundi ya watu wasio na mapenzi mema na nchi yetu ambao watataka kuwatumia kwa maslahi yao binafsi na...
Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Ndg. Modest J. Apolinary kupisha uchunguzi na amemuagiza Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamhanga...
Mzee Mwamakula ambaye ni afisa wa jeshi la polisi mstaafu akizungumza katika kipindi cha Malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV amesema wazee wa kiislamu ndio waliokuwa wanaendesha harakati za...
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Chama hicho kipo na kitaendelea kuwepo, akisisitiza "ACT is here to stay"
Amesema...
Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Watu wanacheka sana na kushangilia kwa kilichotokea kwa mbunge wa Kilwa aliyeshindwa kuapa mbele ya Rais.
Hili sio tukio la kawaida kwa mbunge aliyeteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Madini.
Kwa...
Jaji Mstaafu Joseph Warioba amewapongeza viongozi wa dini nchini kwa jitihada zao za kudumisha amani na haki nchini na kuwataka viongozi wa siasa bila kujali itikadi za vyama vyao kukaa pamoja na...
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amewataka watumishi wa Wizara ya Nishati kufanya kazi kwa kasi na kwa ubunifu ili kuhakikisha sekta ya Nishati inaendelea kukua ili kuwezesha upatikanaji...
Habari za kazi wana bodi!
TLS, kinafanana na filigisi ya kuku, ngozi inapatikana ndani. Ukiangalia wawezasema ni nyama tu kumbe ndani kuna ngozi inayohifadhi uchafu na mchanga.
Nchi za wenzetu...
RIPOTI ya kwanza ya mwaka 2019 ya Mpango wa Afrika wa Kujitathmini Kiutawala bora APRM umebaini Tanzania kufanya vizuri kwenye suala la ulinzi na usalama mambo ambayo yametajwa na ripoti hiyo kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.