Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Tanzania na kusisitiza kuendeleza Ushirikiano

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
655
1,000
Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa Tanzania.

Amesema Wamefurahishwa na hotuba aliyoitoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge la 11 La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hususani Mkakati wa Ukuzaji wa Sekta Binafsi.


FB_IMG_16077130771721316.jpg
FB_IMG_16077130711208261.jpg

Balozi huyo Frederic Clavier ameongeza kuwa Serikali ya Ufaransa imefurahishwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa ikiwemo kuingia kwenye Uchumi wa Kati.
 

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
889
1,000
We bashiru nawe mshauri jpm aache kufatilia wafanyakazi wadogo wadogo , alivunja wakara wa madini hakuridhika??
Mbona vyeti feki hakugusa majeshi???
 

beberu_mzalendo

Senior Member
Dec 11, 2020
106
225
Hongera katibu mkuu wetu kwa kufanya mazungumzo muhimu na wadau wetu muhimu katika maendeleo. Hakika utakuwa umewaelewesha dira ya mbeba maono yetu, mwenyekiti wa chama na Rais. Dr. Magufuli
 

Rogart Ngaillo

Verified Member
Apr 27, 2013
845
1,000
Kila siku "Tunaahidi kuendeleza uhusiano"
Hivi hakuna mambo mengine ya msingi ya kujadiliwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom