Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
2,093
Reaction score
725
Wananchi itakapofika tarehe 25.10.2015 tujitokeze kwa wingi kwa ajili ya kufanya maamuzi sahihi, maamuzi ambayo yatatufanya kujua kwa undani ufsadi wote uliotokea, Mimi nimekwisha Fanya maauzi ya kupigia mabadiliko.

Wenzangu mnasemaje.
 
Tulimpenda, lakini mwenyzi Mungu kampenda zaidi - jina la bwana litukuzwe.

12036392_899474603466805_4040566501219846134_n.jpg
 
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dr Magufuli amezidi kupigilia msumali kwa mafisadi wote akisema ni lazima wachukuliwe hatua za kisheria.Hali hiyo imekuja mara baada ya tetesi kuwa fisadi waliokimbia CCM wako mbioni kurudi,hivo Magufuli kasema chama chake hakitakuwa tayari kupokea mafisadi bali kitawashughulikia vikali.
 
Poa poa. Badae basi, ngoja tukahangaike kidogo.
 
Hapo ni sawa na shoga wa kiume umwambie aache ushoga,.. Sis tunasubiria Lowassa aapishwe tu sasa
 
Hakika huyu bwana anakuja kuifufua CCM

Tehe tehe, at least unajua kwamba ccm imekufa. Na dalili zote zinaonyesha ikiwemo hii ya wafuasi wake kutapatapa. By the way, umesikia huko Loliondo waarabu wanachukua kile wawezacho? Maana nao washajua kuwa ccm haitakuwepo after October?
 
Malipo ya uovu huwa ni hapahapa duniani. Ufisadi alioufanya Lowasa na Sumaye malipo yao yanakuja muda si mrefu na watanzania mtashuhudia. Kwa sasa waachani wapite kuwaaga watanzania baada ya hapo ni jela inawasubiri. Walipata kiburi cha pesa wakajiona wao ndio kila kitu nchi hii wanauwezo wa kununua watu eti wanapendwa. Malipo yao yaja.

Asante Magufuri mungu akuzidishie sana tena sana.
 
Lowassa afirisiwe kwanza ili naye ajifunze kuishi
 
Siku akianza kuwatia ndani hawa majizi wenye uroho wa madaraka ndio Tanzania mpya itazaanza kuzaliwa
 
Mafisadi kama akina Sumaye sijui yatakimbilia wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom