Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro.
Mchango wa wadau
My opinion, this is wrong! Baada...
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili Utalii, imewekeza Zaidi ya bil 365 kuinua utalii Kanda ya Kusini ikiwa ni mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 150.
Ameyasema hayo Kamishina Msaidizi...
DPP Biswalo Mganga, hatuna shaka na utendaji wako hata kidogo, uchapa kazi, haki, weredi, na uwazi . Hivi vyote umejaariwa na mh. Rais hajakosea kukuchagua.
Nikuombe utembelee magereza ya...
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.
Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi...
Uvumi wa hivi karibuni juu ya afya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, umetupa angalizo juu ya nini kitatokea ikiwa atakuwa mgonjwa sana kutawala, au kufa.
Kiongozi huyo mweye umri...
Just imagine upo katika kipindi cha majonzi una tafakari hili na lile baada ya kukosekana kwenye ajira! unaulizwa maswali kama haya na wazazi, ndugu na majirani;
Nasikia ajira zenu zimetoka. Vipi...
Wanabodi,
Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa "voices from within" ni kama "trends reading of some sort.
'Voices from Within" ni kuisikia sauti kutoka ndani yako!.
Sasa baada ya Naibu Waziri...
Sina mengi lakini suala la utawala bora nchi hii bado sana. Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke alitoa maneno ya kuudhi dhidi ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Television cha...
Hotuba ya Rais Magufuli akiwa anazindua Kiwanda cha Sigara - Kingolwira, Morogoro
Akizungumza leo Machi 15, 2018 katika uzinduzi wa kiwanda cha sigara cha Philip Moris mjini Morogoro, Rais...
Mtandaoni zinasambaa taarifa kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupata hifadhi ya Kisiasa Nchini Canada.
Kinadharia Hifadhi ya Kisiasa hutolewa kwa mtu ambaye kutokana na...
Kwa sasa mijadala ya siasa za uchaguzi inaelekea ukiongoni na yule Robert Amsterdam anakwenda kuufyata mkia wake.
Maalimu Seif na ACT-Wazalendo kwa ujumla wamekubali yaliyopita si ndwele tugange...
Husika na maada tajwa hapo juu.
Mim ni mdau mkubwa wa maji nmekuwa nikishirikiana na wadau mbali mbali wa maendeleo kuchimba visima vidogo na vikubwa maeneo yenye uhitaji mkubwa hasa kwenye...
Kwa nafasi yako kama Jaji mkuu hukupaswa kuwa kimya unapoona viongozi wakuu wenzako wanavunja Katiba kwa mbwembwe hadharani kwa kutoa tafsiri potofu.
Kuvunja katiba ni kosa kubwa kama ulivyo...
TUNDU LISU RUDI NYUMBANI, RAIS MAGUFULI ATIMIZE AHADI YAKE.
Na, Robert Heriel
Sisi wote ni wanadamu, kila mmoja anamapungufu yake ambayo anahangaika kuyaweka sawa ili tuwe wakamilifu. Hatuwezi...
Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli mimi najua wewe ni jembe kwelikweli na hutaki mchezo katika masuala ya kazi.
Nakuomba Mkuu najua nafasi hizi Mungu ndiye hupanga.
Angalia tena wakati unamwapisha...
Anaandika Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
____________________
Kuna tofauti kati ya Bunge na Bonge. Bunge huongozwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria, Kanuni...
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya...
Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika...
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda, ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanasimamia ahadi na viapo vya uadilifu ikiwa ni pamoja na kupinga vitendo vya rushwa katika maeneo yao ya kazi.
Pinda...
Duniani wanasiasa ni mchanganyiko wa makundi ya watu waliopo kwenye jamii, kukosekana kwa makundi haya nikukosekana kwa washauri wazuri ndani ya Bunge.
Bunge linapaswa liwe na wastaafu wa Jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.