Kauli ya hovyo ilishawahi tolewa na rais. Alikuwa anajua ni Haki ya Kikatiba ya watumishi, lakini kwa jeuri akajibu hivyo. Alisahau kuna Uchaguzi tena after 5 years.
Leo akiulizwa hana jibu tena...
Je, atafanikiwa?
Inadaiwa Wanasiasa wa Tanzania au Afrika ni wanafiki ukiwa kiongozi wake wanakusifia kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa huku wakifanya yao gizani lazima uwe na roho ngumu...
Salaam Wakuu,
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi amawaeleza Wahariri na Waandishi wa habari Wandamizi zaidi ya 50 waliokutana Dodoma leo tarehe 10 Dec 2020 kwamba...
MADIWANI WAPYA MSIKUBALI UPUMBAVU UWAZOEE KATIKA MABARAZA YENU.
Naandika Mwl wa akiba
📌Madiwani wapya ambao wengi wameapa katika kipindi hiki lazima watambue kuwa kuna vikundi vya watu wachache...
Na Eric Biegon – Nairobi
Ukuaji wa kasi wa uchumi wa China umekuwa tukio kuu katika karne ya 21. Historia ya taifa hilo unaashiria kuwa nguzo kuu ya mafanikio haya ni maendeleo ya viwanda vyake...
Kwa mwaka mmoja mbunge hulipwa takribani million 170, pesa hizo hulipwa kutokana na mshahara ambao ni zaidi ya milioni 11 ambayo ukizidisha mara miezi 12 unapata milioni 132.
Vilevile mbunge...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa leo amepokea wanachama wapya 300 wa CCM wengi wao wakitokea chama kikuu cha upinzani Chadema.
Polepole amewataka wanachama hao...
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs...
CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni...
Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo...
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza...
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama...
Taifa la Mungu elimu si Mali ya serikali Bali ni Mali yetu. Wanaosoma si watoto wa serikali bali Ni watoto na ndugu zetu. Wanaoshindwa kusoma kwa kukosa madarasa na madawati si watoto wa serikali...
Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa, Amina Salim Ali.
Huyu ni mwanamke mwingine wa shoka anayeiweka Bongo katika ramani ya kimataifa pamoja na kina dk. Asha-rose Migiro ambaye...
Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini natumaini Mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa...
Wanabodi poleni na mihangaiko ya kila siku na hongeleni kwa ushindi wa Bidden. Leo ningependa niwaletee kisa cha mapepo ninachokifananisha na madai ya wizi wa kura.
Mwaka 2002 kulikua na mdada...
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika...
Ndg. wanabodi,
Sikuwahi kujua kuwa na hapa kulipita mjadala uliohusu matibabu ya mzazi wangu. Nimeambiwa kuwa mjadala huu umekuwa ukififia na kuibuka mara kwa mara. Nimeona leo niibuke mwenyewe...
NANI ALIYETUKOSEA,JE ALIYESHINDWA KUAPA AU WALE WALIOSAINI MIKATABA ILIYOGHARIMU TAIFA LETU,JE NI MZUMBE UNIVERSITY AU DAR ES SALAAM UNIVERSITY!?
Leo 18:30hrs 11/12/2020
I really admire Mzumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.