Ipi nafasi ya TLS katika nyakati kama hizi? Ni wakati sahihi kwao kuamka

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Habari za kazi wana bodi!

TLS, kinafanana na filigisi ya kuku, ngozi inapatikana ndani. Ukiangalia wawezasema ni nyama tu kumbe ndani kuna ngozi inayohifadhi uchafu na mchanga.

Nchi za wenzetu vyama kama hiki huchukualia hatua watawala waovu, lakini Tls ipo kimya. Kina Ndugai wanavunja katiba TLS ipo kama joka la kibisa. UWEPO WA TLS UNAFAIDA GANI KATIKA NCHI YETU?

Wabunge wamefukuzwa kwenye chama chao yeye anawatambua sijui anatumia sheria ipi! TLS ipo tu.
Jiwe anavunja katiba wanaangalia tu.

Huenda siyo sehemu ya kazi yao, lakini kwakuwa wanaijua sheria tulitazamia hata baadhi yao kwakuijua sheria wangechukua hatua za kuwapeleka mahakamani. Hata hizo kinga walizojiwekea watawala zingefutwa kupitia wao.

LAKINI NDIYO IVO, NJE NYAMA NDANI NGOZI.
 
Kuna mtu juzi aliuliza hapa kwamba ni nani anasimamia katiba yetu isivunjwe.

Maelezo yakawa meeengi lakini hakuna aliyetoa jibu la moja kwa moja.

Sasa mkuu wewe leo umeamua ''kuwasingizia'' TLS
 
Tujadili nini hapa mkuu tafadhali??🤔🤔 au ulitaka kutujuza nini kipya labda??🤔
Au pengine leo ni zam yako kulamba miguu ya wakuu wa ufipa ukaona uje na hii😂😂😂
 
Tujadili nini hapa mkuu tafadhali?? au ulitaka kutujuza nini kipya labda??
Au pengine leo ni zam yako kulamba miguu ya wakuu wa ufipa ukaona uje na hii
Akili ndogo haiwezi kuelewana na akili kubwa.
Wanaokufaa wewe ni kina musukuma,lusinde na lijua likali
 
Kuna mtu juzi aliuliza hapa kwamba ni nani anasimamia katiba yetu isivunjwe...
Maelezo yakawa meeengi lakini hakuna aliyetoa jibu la moja kwa moja.
Sasa mkuu wewe leo umeamua ''kuwasingizia'' TLS
Yaelekea wewe ni mvivu wa kusoma pia kuelewa ni mzito sana
Rudi darasa ukatiwe wepesi wa kuelewa
 
Kama wanasheria mahili ni kina shangazi aliyeenda mahakamani na akaargue kwa kutumia sheria iliyokwishafutwa hivi unategemea nini 🤔🤔
 
Hahaha maslahi ya ccm hayaingiliwi na yeyote duniani, hata kama wana kula binadamu hakuna wa kuwaingilia mpaka waamue kuacha wenyewe.

Imagine hata wanasheria wenyewe kama Dr.Mwakyembe wakati yuko high table aliwahi kusema TLS haijitegemei na inaweza kufutwa. Sijui leo kama msimamo wake bado ni huo lakini hakina ubavu kwa ccm.
 
Tujadili nini hapa mkuu tafadhali??🤔🤔 au ulitaka kutujuza nini kipya labda??🤔
Au pengine leo ni zam yako kulamba miguu ya wakuu wa ufipa ukaona uje na hii😂😂😂

Dogo kwa pumba uko vizuri.
 
mkuu tindo siku zote katika hii dunia hatuwezi wote kuwa na akili moja au kuwaza kitu kimoja.
Ndio maana hata mionekano tu,hatuko de same!!
Hivyo, usitake kuforce kila mtu awe upande wako kushabikia upuuzi eti kisa anaogopa mapovu kutoka hapo ufipa.mimi nitasimama imara na ninaamini ipo siku tutakuwa pamoja katika kulitakia mema taifa hili na kulijenga kwa nia ya dhati.

#jr
Issue siyo kuwa na akili moja,bali kusimama kwenye ukweli.
Hata ukiupinga ukweli leo kunasiku unasimama na kukusuta wakati umeshapatikana na mabaya.
HII NDIYO TABIA YA UKWELI,HUWA HAUUWAWI.

Mkuu,unachosimamia wewe ni nini?
 
Kutokuwa na mfumo imara wa upatikanaji haki hapa Tz ndio imepelekea:-
-watu wengi, asasi mbali² & Taasisi za kidini kutokujiamini. Kwa sababu serikali imejivika mamlaka kama 'muamuzi wa mwisho' katika masuala yote. Hivyo basi wengi huogopa kukinzana na serikali kwa sababu 'vyombo vinavyotegemewa kukulinda & kukusaidia upate haki yako' ndio hivyo vinatumika kukuangamiza.
Yaani ni kama kumuua mgonjwa kwa dawa ile ile inayoweza kumtibu.
 
Back
Top Bottom