Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam waheshimiwa mawaziri, waziri wa kazi,ajira, vijana na walemavu mh. Jenister Mhagama na waziri wa elimu sayansi na teknolojia mh. Prof. Joyce Ndalichako. Awali ya yote ninayo furaha kutoa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Namhurumia sana Godbless Lema. Kaingia jela ya kufikirika, jela ambayo ni yeye mwenyewe atajua ni kifungo cha miaka mingapi na atatokaje kwa msamaha wake mwenyewe. Mbaya zaidi familia nzima...
27 Reactions
139 Replies
12K Views
Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF, Naomba update za huyu Professor, Binafsi ninamkubali sana huyu prof kwa uchambuzi wake wa historia na falsafa ya kiafrika. kwa muda mrefu sijamsikia wala kusoma machapisho yake mapya...
3 Reactions
52 Replies
20K Views
Kinachoonekana sasa ni kwa CCM kuitumia nafasi ya ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko nchini Zanzibar ,CCM kwa kutumia sura mbalimbali inazojivalisha inaonekana inatumia...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Namnukuu: "Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda...
39 Reactions
202 Replies
25K Views
Kama taifa lazima tukubali kwamba sasa ni wakati wa kuzika tofauti zetu na kuanza kuambiana ukweli. Hao niliowataja hapo juu ni wateule katika Baraza jipya la Mawaziri. Pamoja na kwamba mimi...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Bandugu naomba kujua mtu anapokua mkimbizi wa kisiasa katika nchi fulani, je nchi inayomuhifadhi inampa vitu vyote muhimu bure? Mfano nyumba, kusomesha watoto, chakula na matumizi mengine ya kila...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Kuna tukio moja ambalo limesahaulika katika kumbukumbu zetu. Miaka fulani ya mwishoni mwa 1990s, timu ya Simba ilienda kucheza mechi mjini Khartoum, Sudan. Simba wakakaza sana na mpira ulipoisha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania wametakiwa kusimamia ukweli na kutoyumbishwa katika imani yao ili kuliokoa Taifa lisiangamie. Wito huo umetolewa leo Jumatano Desemba 9, 2020 na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dk...
17 Reactions
114 Replies
10K Views
Ukurasa rasmi wa Twitter wa Ubalozi wa India umesema watamaliza mi vutano iliyopo baina ya raia wake na kampuni ya MeltGroup kupitia mazungumzo. PIA, SOMA=>Ubalozi wa India wawatahadharisha raia...
2 Reactions
71 Replies
12K Views
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya Wananchi...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama...
6 Reactions
104 Replies
13K Views
CCM kimekuwepo toka mwaka 1977 ni chama kilichotokana na muungano wa vyama viwili yaaani TANU na ASP chama hichi kilikubalika kwa wananchi na ni kwasababu nchii ilikuwa chini ya mfumo wa chama...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki...
16 Reactions
136 Replies
12K Views
Heshima kwenu wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( JMT). Nawaomba sana tena kwa heshima yenu kua wasaidieni vijana wetu waliopo Vyuo Vikuu ambao wamekosa mkopo wa Serikali ili...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Hapo jana ya tarehe 11/12/2020 tulipata taarifa kuwa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo limepiga kura ya kutokuwa na imani naye Spika wao wa Bunge, Jeanine Mabunda kwa namna anavyoliendesha...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Mh.waziri nilimsikia juzi Mh. Rais akikutaja wakati akikuapisha kwamba unakimbia maamuzi na kuyakwepakwepa lakini nikutie moyo kuwa bado wizarani kwa maksudi naomba usome hapa. Sisi wakazi wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom