John Heche kujiunga CCM?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya Wananchi.

Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM inaamini hawa vijana wanapaswa kusajiliwa kwao? Je, nguvu yakukuza vipaji na nguvu yakumshawishi mtu usiamini imani yake ipi nguvu kubwa?
 
Anything is possible under the sun...

In politics, they say, "....if you can't beat them, find a way to join them and fight from inside their circles..."

We live in order to eat and sometimes we must eat so that we can maintain our daily body breathing...

Kama wanafikia bei ya "transfer fee", why not...?

Sometimes, we can say ".... Wajinga ndio waliwao..."

Nani mjinga wa kuliwa?

You can solve that equation by yourself...!!
 
Hana lolote huyo! Ni mwanasiasa anayetumia nguvu nyingi kuliko maarifa! CCM ina watu wengi sana wanaojua siasa za hoja .
Unadhani kwanini baraza la mawaziri kuna chadema kadhaa? Kwanini ccm wanahangaika na kuwatamani C-19? Ulishajiuliza sababu ya mheshimiwa kulazimika kufanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum ili kupata wa kuwateua uwaziri ilhali kuna zaidi ya 300? CCM ina wenyewe.
 
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya wananchi.

Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM inaamini hawa vijana wanapaswa kusajiliwa kwao? Je, nguvu yakukuza vipaji na nguvu yakumshawishi mtu usiamini imani yake ipi nguvu kubwa?
Huko CCM yamejaa mapooza tupu
 
Bei ikifika namshauri ajiunge tu CCM. Umri unaenda na watanzania bado mazoba Sana, kuyapigania haya mazoba inahitaji moyo Sana. Heche tafuta Bei. Jitegeshe kwa akina Polepole, wakileta dau kubali.
Kamanda acha kututukana na kutuita mazoba. Utatuitaje mazoba wakati sisi tulishituka tukaukataa ushoga? Mazoba si nyie mlioukubali ushoga bila hata kuuliza? Mwanaume mzima utakubalije sera ya kushikishwa ukuta kama we siyo zoba? Zoba mwenyewe: nadhani umechanganyikiwa kwa kuwa Sexless 🤓🤓
 
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya wananchi...

Hivi hii biashara ya watu ingalipo?
 
Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya wananchi...
Mkuu 2020 -2025 hautaamini masikio yako ,Manguli wa CHADEMA watajiunga na Chama TAWALA.
 
Kama Heche ataombwa kuniunga na CCM ili aijenge nchi asisite kufanya hivyo.
Ndani ya Chadema hakuna Fursa mana Mbowe ameshajimilikisha Chama na hana imani na mtu yeyote.

Siasa sio uadui.
Kama Kuna Mpinzani mwenye hulka ya kijamaa basi ni vyema ahame Chadema. Mbowe ni Bepari uchwara anayeongoza Chama kisicho na demokrasia. Kubaki kwenye Chama kama hicho ni hatari sana.

Siasa za kiliberali zinahitaji Demokrasia pana sana. Sasa Mbowe amefinya demokrasia ndani ya Chama na kukifanya kuwa kama Kundi la magaidi badala ya Chama cha siasa.

Heche ajiongeze tu kwani Kwa Chadema hii ya Mbowe kuiondoa CCM madarakani ni jambo gumu sana na huenda likafanywa na vitukuu vyetu na sio kizazi hiki cha akina Mbowe
 
Kamanda acha kututukana na kutuita mazoba. Utatuitaje mazoba wakati sisi tulishituka tukaukataa ushoga? Mazoba si nyie mlioukubali ushoga bila hata kuuliza? Mwanaume mzima utakubalije sera ya kushikishwa ukuta kama we siyo zoba? Zoba mwenyewe: nadhani umechanganyikiwa kwa kuwa Sexless 🤓🤓
Mkuu kama huamini kua hii serekali yetu ya sasa inasapoti mashoga baasi tena. Nimetoka kupigwa ban muda si mrefu for the first time in 11 years kwa kutumia neno shoga ktk post moja yangu.

Hawa mashoga hawaguswi dunia hii. Ukitaka "kwa hisani ya marekani" waondoke Tz chezea mashoga.

Muulize Makonda, hatui Marekani kwa kuwazodoa mashoga yeye na familiy yake wamekula ban.
Ushoga ni taasisi pana.
 
Back
Top Bottom