Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,338
- 1,126
WanaJF,
Naomba update za huyu Professor, Binafsi ninamkubali sana huyu prof kwa uchambuzi wake wa historia na falsafa ya kiafrika. kwa muda mrefu sijamsikia wala kusoma machapisho yake mapya?
Naomba yeyote mwenye taarifa zake aniupdate? Yupo wapi kwa sasa na anafanya nini? Na kama kuna mwenye machapisho yake ya kuanzia 2005 na kuendelea nitafurahi sana akinisaidia jinsi ya kuyapata.