Kumekuwa na madai mengi ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuwa wanatishiwa maisha na "watu wasiojulikana"
Imefikia hatua ya viongozi wetu wa upinzani, hususani wa Chadema, kuikimbia...
HILI LA KUKATISHA LIKIZO MWEZI DESEMBA ILI KUMALIZIA VYUMBA VYA MADARASA LITAFUTIWE MAJAWABU.
Na Elius Ndabila
0768239284
Imekuwa kawaida sasa kuona viongozi wakisisitizwa kuto kwenda likizo...
Nimekuwa nikifuatilia siasa zetu za Tanganyika na Zanzibar toka tumalize uchaguzi mkuu Oktoba 2020, kwanza nimeona mivutano baina ya upinzani na ccm hasa chadema Baada ya uchaguzi kususia...
Awamu ya Tano imeonekana ni Awamu ya Maridhiano na Kauli mbiu ya maendeleo hayana chama, Au nasema uongo jamaniiiiii.. Hii ni orodha ndefu ya Makamanda wa Upinzani waliopewa nafasi
1- Albert...
Akiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni...
Habarini za Leo ndugu na marafiki
Leo nimekuja na sifa ambazo viongozi wakuu huzizingatia wakati wa kuteua wasaidizi wao.
Mfano Rais anapochaguliwa tu, moja ya jukumu lake huwa ni kuteua...
Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa...
Unaweza ukaishi kwa mfalme bila amani. Unaweza kuishi kwa mfalme ukawa na hofu hata ya majirani wema wanaoendelea na shughuli zao. Unaweza ukapata fursa ya kumshauri mkubwa akabaki kuwashambulia...
Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao.
Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka...
Kwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hili la sasa unless utaratibu...
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm...
Leo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alikuwa na mkutano na wadau wa sekta binafsi na kuongelea vipaumbele vya serikali miongoni ikiwemo kuondoa kero za wananchi na wafanyabiashara.
RC Kunenge...
Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara.
Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni...
TAARIFA KWA UMMA
CHINA NA TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China Nchini...
1. Wakiacha kujilipa mishahara mikubwa na posho za vikao na safari, kisha kuelekeza fedha walizostahili zikatengeneze huduma za kijamii. Hakuna ukweli kwamba wao wanalipiwa nyumba, posho...
Msikilize mwenyewe
===
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa ACT-Wazalendo na yeye kuridhia kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitafa Zanzibar (SUK)...
Hata kama sio viongozi mliopo hivi sasa kwenye ngazi ya uongozi wa Jiji, swali hili linawahusu na ikiwapendeza jaribuni kulifikiria na kulifanyia kazi, kubadili au kupunguza heshima kubwa...
Hapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa...
Kwa heshima kubwa naleta ushauri huu kwenu, nikiwa kama
BUNGE ni chombo au ni sauti ya watanzania walio zaidi ya milioni 50.
Bunge ni chombo kinachojitegemea ambacho kinatakiwa kuisimamia...
Ujenzi wa Soko La Kisasa Lililopo Chuno Halmashauri Ya Mtwara Kwa Kutumia Fedha Za Ndani
Wakazi wa Mtwara wanazidi kuona matokeo chanya yatokanayo na kuichagua Serikali ya CCM
Matumizi sahihi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.