Ubalozi wa India wazungumza na Mo Dewji

Fredrick J Mbwambo

New Member
Jul 3, 2020
4
93
Ukurasa rasmi wa Twitter wa Ubalozi wa India umesema watamaliza mi vutano iliyopo baina ya raia wake na kampuni ya MeltGroup kupitia mazungumzo.

PIA, SOMA=>Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

Screenshot_20201209-113529~2.jpg
 
Wahindi wengi hapa Tanzania ni wezi, wakwepa kodi, wazurumaji.

makampuni mengi ya wahindi mishahara yake mnaijua, hakuna mikataba, hakuna likizo, hakuna allowances, ni unyonuaji juu ya unyonyaji.


Hao wa Mo hua wanaletwa kinyemela halafu wanapigishwa kazi za kufa mtu, malazi mabovu, mishahara hawapewi na vile wamaingia kinyemela hakuna pa kulalamikia.

Wengine wakishafika nchini wananyang'anywa hati za kusafiria ili wasikimbie hali ngumu wanazokumbana nazo kwenye viwanda vya Mo.

Mo anaitumia simba kuficha upande wake wa pili ambao hauelezeki, usiofaa.
 
Jamaa pale Simba Sports kachukua asilimia 51 ya hisa kwa kudai katoa 20 billion toka mfukoni mwake. Kila akiombwa ushahidi wa kutoa pesa hiyo anang'aa macho. Huwezi kutoa bilioni 20 usiwe na documents zozote za kuonyesha kutoa pesa hiyo na huyo aliyepokea kuonyesha uthibitisho wa kupokea pesa hiyo. Yuko Simba ili kuitumia kufanya utapeli wake.
Wahindi wengi hapa Tanzania ni wezi, wakwepa kodi, wazurimaji.
 
Jamaa pale Simba Sports kachukua asilimia 51 ya hisa kwa kudai katoa 20 billion toka mfukoni mwake. Kila akiombwa ushahidi wa kutoa pesa hiyo anang'aa macho. Huwezi kutoa bilioni 20 usiwe na documents zozote za kuonyesha kutoa pesa hiyo na huyo aliyepokea kuonyesha uthibitisho wa kupokea pesa hiyo. Yuko Simba ili kuitumia kufanya utapeli wake.
Simba inatumika kuficha machafu ya Mo.

Huku wananchi tukijikita kuzunguzmia Mo wa simba Mo halisi hatumzungumzii hivyo kumpa nafasi kufanya anayoyataka kwenye underworld.
 
"Thru" badala ya through , huu ubalozi umeajiri Wasela wa Lugha.

Yaani Ubalozi unatuandikia maudhui ya kama MTU anachart na mpenzi wake
... True hata ile sentensi ya mwisho kwenye hiyo tweet.. "We will like...."
Sio kiingereza cha ofisi kubwa ya ubalozi kama hiyo. Ujanja ujanja mwingi hapo
 
Hao Wahindi ni wasanii, tangu mwanzo machale yalinicheza kuwa wanataka na makampuni mengine yaendelee kuwajaza kwenye nafasi zinazowezwa kujazwa na watanzania, ikabidi wamutumie Mo na Sasa hivi wajifanye wameelewana. Sasa mhagama Kesha pewa warning na yeye atashusha rungu uhamiaji ili
Wakae kwao wasijehuku kwenye malipo madogo.
 
Back
Top Bottom