Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,760
Namnukuu:

"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"

Hilda.PNG

My Take 1

Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
 
Huyu dada kama kweli anakataa basi ana thaman kubwa maana yeye maskin hajawahi kula pesa Ubunge na yupo tu lakin anatetea kweli Nchi na kukemea maovu.

Wanaharakati wa kweli hawanaga uroho wa pesa.
 
Back
Top Bottom