Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,306
2,000
Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar.
Tunaenzi vipi muungano wetu?

Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa.

Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano
Ina maana wajumbe kutoka kwenye Baraza la mawaziri anakua mama Samia na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Zanzibar ambae mara nyingi hata huwa haudhurii sana.

========
EDIT - MODERATOR

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis na Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Khamis wameteuliwa kutoka Zanzibar
 
Marunde

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
534
1,000
Acha uchonganishi wewe Kuna manaibu waziri 2, yule wa Fedha na Mambo ya ndani
 
lum

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
400
250
images (1).png

AFRO SHIRAZ PART
CHOMBE CHETU KILIKWENDA SAWA KWA KARUME ALIEKIJUA TOKEA MWANZO TULIPO TOKEA AFRO.
 
Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,306
2,000
Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar.
Tunaenzi vipi muungano wetu?

Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa.

Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano
Ina maana wajumbe kutoka kwenye Baraza la mawaziri anakua mama Samia na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Zanzibar ambae mara nyingi hata huwa haudhurii sana.

========
EDIT - MODERATOR

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis na Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Khamis wameteuliwa kutoka Zanzibar
Logic yangu ni kuhusu mawaziri kwani ndio wanaoingia kwenye vikao vya Baraza la mawaziri...naibu waziri sikutaka kuzungumzia.
Kwako Moderator
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,128
2,000
Wazanzibar hawana chao huku na huu ni muda wa wao kushtuka na kukataa maonezi ya kila uchaguzi kuchaguliwa Rais kutokea Chamwino then gogoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom