Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unaweza kuuita ni usanii uliopangwa na watu wanaosimamia mradi wa TANIPAC unaofadhiliwa na bank ya maendeleo ya Africa. Watu hawa walihadaa watanzania kuomba ufadhili wa masomo hukuwakiwa na watu...
2 Reactions
0 Replies
831 Views
Salaam Wana JF, Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku. Baada ya...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara mkoani humo, kutojenga mazingira ya chuki wakati wa ukusanyaji kodi. Alitoa jana...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na...
58 Reactions
181 Replies
23K Views
Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa...
10 Reactions
101 Replies
12K Views
Mataifa ya Afrika ukiiondoa nchi ya Ghana,mengi yao viongozi wao wanauogopa sana upinzani . Viongozi walio madarakani wamekuwa ni waoga sana wa kukosolewa na viongozi wa Vyama vya Upinzani vya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mikoa mingi inayopatikana kusini mwa Tanzania iko nyuma kimaendeleo. Ruvuma, Lindi, Mtwara hii mikoa ni imetengwa na kupuuzwa kwa miaka mingi. Nitaelezea kwa Ruvuma, mkoa wa Ruvuma makao makuu...
15 Reactions
81 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Serikali imeingiza zaidi ya Sh123.6 bilioni kutoka kwa washtakiwa mbalimbali wa kesi za makosa ya uhujumu uchumi katika mwaka huu wa 2020. Kiasi hicho cha fedha ni katika kesi 15...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
CUF-CHAMA CHA WANANCHI. TAARIFA KWA UMMA. LIWALE INAHITAJIKA TUME HURU YA UCHUNGUZI.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Katiba mpya jamani ni ya muhimu sana kwa mstakabali wa taifa letu, kwani tunapoelekea ni pabaya kwa mtu mwenye mtazamo wa mbali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wenzetu majiji huwa yanaongozwa na mameya, mameya hawa huwa wanachaguliwa na wananchi. Hawa ndiyo huwa wanasimamia mambo yote ndani ya jiji, elimu, afya, usafi, uchumi, miundombinu nk. Ili...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Uteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao. Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20. Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi...
5 Reactions
102 Replies
14K Views
Wakuu, Huu ni mtazamo kwa yaliyomo kwenye Ilani ya CCM kwa kuzingatia yafuatayo A: 1. Rasirimali asili 2. Rasirimali Watu 3. Rasirimali Vifaa na Teknolojia B: 1. Elimu, Ujuzi, Weledi na Taaluma...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA mh. Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho. Chanzo: Mwananchi My take; Hongereni kwa...
7 Reactions
137 Replies
18K Views
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali. Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na...
4 Reactions
92 Replies
10K Views
Nimepata bahati ya kuja masasi kula sikukuu ya xmass na nimepata bahati ya kuongea na watu tofauti tofauti hasa wafanyabiashara Asilimia kubwa ya wafanyabiashara ambao tumekaa na kuongea nao...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama...
7 Reactions
47 Replies
7K Views
March 16, 2020 Kilosa, Morogoro Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiwa wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro akifanya ukaguzi wa daraja muhimu kwa taifa la Kiyegeya lililobomoka Machi 2, 2020...
8 Reactions
89 Replies
15K Views
Wanabodi, Declaration of interest Mimi Paskali wa JeiEfu, naunga mkono utumbuaji majipu wa rais Magufuli unaofanywa kwa haki, staha na kistaarabu. Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua...
12 Reactions
186 Replies
37K Views
Back
Top Bottom