Siasa za Kiafrika zimejaa hila uhuni mauwaji jinai utekaji hujuma wizi na kila aina ya uovu.
Yaliyotokea Tanzania ndio yanatokea Uganda kwa Museveni.
Somo la historia tunalofundishwa kuwalaani...
Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza...
Nimekaa na kutafakari juu ya siasa za Tanzania. Maana ni kama zimekosa muelekeo kabisa
Je, ina maana Spika Ndugai na bunge lake waliapisha Wabunge ambao hawajapata baraka ya chama chao kuwa...
Diwani wa kata ya Daraja Mbili kupitia CCM, Prosper Msofe ambaye aligombea Umeya wa jiji la Arusha na kupata kura 9 amelalamikia yaliyotendeka katika uchaguzi huo.
Msofe amelalamikia wapiga kura...
Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi.
Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa...
Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.
Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.
Chadema...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limeripoti kutokea kwa makosa ya jinai 1,791 mpaka kufikia Desemba 2020 ikilinganishwa na makosa 2,189 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho mwaka jana.
Ripoti...
Katika baadhi ya nchi kuna Wizara ya dini ambayo inaratibu mambo yote ya dini yanayohusiana moja kwa moja na siasa.
Viongozi wa dini wanaopendelea siasa kama akina askofu Bagonza, askofu...
Baada ya Serikali ya awamu ya tano kukwama kwenye sekta ya ajira kamekuja katabia ka watu kuwabeza wasomi waliorundikana mitaani kwa kukosa ajira, kwamba wameshindwa kutumia elimu waliyoipata ama...
Isomwe na wenye akili pekee.
Kifalsafa katiba hii inayotumika ya mwaka 1977 ililenga zaidi kutatua changamoto na matatizo yaliyojitokeza kati ya mwaka 1961-1963 na 1964-1976 miongoni mwa mambo...
Habari from TANROAD zinathibitisha kuwa Katibu mkuu, Naibu katibu mkuu na HR wa Miundo mbinu wamempa dispatch Mr Mrema na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa barabara vijijini Mr...
Chama Cha wachimbaji wa Madini ya Tanzanite Mkoa wa Manyara MAREMA, tawi la Mererani, kimetoa tamko la kulaani taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii ikimhusisha waziri wa Madini Doto...
Controller and Auditor General kwenye ripoti yake ya bunge amesisitiza umuhimu wa wabunge kutokuwa wajumbe wa mabodi ya mashirika ya umma kwani kwa kufanya hivyo kunawapunguzia dhamana ya...
Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk
Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko...
He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.
Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi...
Rais Jakaya Kikwete wiki hii akiambatana na waziri wake wa Ujenzi Dr. Magufuli alizifungua rasmi Barabara za Handeni hadi Korogwe iliyojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 65 na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (aliyeshika mkasi) akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Bwanga – Biharamulo. Kushoto kwa Rais ni Waziri...
Waandishi wa habari wapatao 50 wamepoteza maisha wakiwa kwenye kazi zao ndani ya kipindi cha mwaka 2020 kwa mujibu wa shirika la kutetea waandishi na vyombo vya habari duniani, Reporters Without...
Habari wanajf, poleni na pilikapilika za sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.
Moja kwa moja niende kwenye jambo ambalo limenisukuma nije kuandika uzi humu.
Wote tunakumbuka kipindi cha kampeni mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.