Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya hivyo
Hii ni heshima kubwa sana kwetu sisi watanzania
Hii ni heshima kubwa sana kwetu sisi watanzania