Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Kwa wenzetu majiji huwa yanaongozwa na mameya, mameya hawa huwa wanachaguliwa na wananchi.
Hawa ndiyo huwa wanasimamia mambo yote ndani ya jiji, elimu, afya, usafi, uchumi, miundombinu nk.
Ili kufanya hivyo sheria huwa zinayapa majiji uhuru mkubwa sana wa kuamua mambo yake na pia majiji haya hubakiwa na sehemu kubwa ya mapato wanayopata maana huwajibika pia kulipa mishahara.
Ili kuharakisha maendeleo ya majiji serikali ingeyapa uhuru wa kupanga na kutekeleza miradi yao wenyewe. Kusiwe na wakurugenzi bali majiji yaendeshwe na mameya.