Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kufikia lengo la asilimia 101 la tr. 2.08 ninaamini kuwa kuna uwezekano wa kufikia lengo la tr. 3.5 iwapo tu mambo yafuatayo yatazingatiwa: 1. Rais alikwisha sema kwa TRA kupanua wigo wa kodi...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau awali ya yote niwatakie heri ya mwaka mpya 2021! Mungu azidi kutubariki na kutuongezea neema na baraka zake, uwe mwaka wa mafanikio kwa wana JF wote na familia zetu. Wadau, nawiwa...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo amechefuliwa na kitendo cha ucheleweshwaji wa miradi katika Wilaya ya Chemba huku akimwagiza...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Tunapongeza kwa TRA kufikia lengo la kukusanya tril kama alivyoagiza waziri wa fedha. Ni jambo la kiafya kwa ustawi wa jamii yetu. Lakini kuna maswali ya msingi lazima tujiulize. Kama range ya...
6 Reactions
99 Replies
7K Views
Tunaanza utekelezaji wa ilani ya chama Cha mapinduzi katika maeneo mengi hii ikiwa ni baada yakuitimishwa kwa uchaguzi mkuu nchini. Mwaka 2015 hadi 2020 viongozi waandamizi wa chama tawala...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
MRADI MKUBWA WA KUJENGA TAIFA 2021 Mwaka 2020 umemalizika. Tunaanza mwaka mpya wa 2021. Ipo miradi mingi mikubwa ya kitaifa inaendelea. Tunamshukuru Mungu miradi mikubwa ya madaraja, reli...
11 Reactions
25 Replies
4K Views
Huu ni mwaka wa kukirudisha chama kikuu cha upinzani CHADEMA katika viwango vyake kama alivyoiacha Dkt. Slaa. CHADEMA ni wapinzani wa kweli tuwaunge mkono. Make CHADEMA Great Again ( Machaga)...
11 Reactions
61 Replies
6K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Bernad Membe ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi zote ndani ya ACT, akiwa kijijini Rondo Chiponda, Lindi, ameiambia CloudsTV kwamba hajafanya uamuzi huo kwa shinikizo lolote na sasa atabaki kuwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mwaka mpya wana JF. Tumeingia mwama 2021 kwa hiyo tunahitaji madalikiko makubwa sana kwenye maisha ya kila siku. Kama taifa tunatakiwa tuwe na taifa ambalo linafuatwa misingi ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo...
10 Reactions
153 Replies
13K Views
1. Wameshaanda mkakati mpya wa kuendelea kuiteka Africa na visiwa vyake vyoete kiuchumi, kiteknolojia na kijamii. 2. Makampuni makubwa yameshapewa zana za kazi kuingia kwa kasi ya 5G Africa na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya sehemu ya mbele ya jengo la kitalii la Beit Al-Ajaib kuporomoka jana, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaunda Tume Maalum ya Uchunguzi kubaini kilichotokea, na kuishauri...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wadau..! Kiukweli waTanzania tunahitaji furaha sababu maisha yamekuwa magumu sana huku mtaani ,japo tunafikiri sana nje ya box mpaka mabichwa yanaongezeka upana lakini bila bila kama...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Happy New Year Brothers and Sisters. NDUGU zangu, Katiba yetu inaweka bayana kuwa nchi yetu itaongozwa na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Kama Taifa tulikubaliana kwa pamoja juu ya...
1 Reactions
6 Replies
718 Views
Mimi ni kiongozi wa Kanisa hapa Dar Leo nafungua Vyombo vya Habari nakuta unasema mikusanyiko ya Mkesha wa Mwaka Mpya kwenye viwanja Vya wazi marufuku. Leo tarehe 31/12/2020 narudia Leo unatoa...
17 Reactions
100 Replies
9K Views
Wizara ya utumishi wa umma imetuma waraka unaotoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wote wa ofisi za umma na wananchi wote wanaohitaji huduma ktk ofs hizo. Waraka huo namba 3 wa mwongozo wa mavazi...
17 Reactions
307 Replies
74K Views
Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele. Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache...
-1 Reactions
35 Replies
2K Views
Waziri wa kazi, ajira na wenye ulemavu Jenister Mhagama amemtaka Katibu Mkuu wa wizara yake kukagua mkataba ya watumishi wote kwenye miradi ya kimkakati. Mhagama amesema uhakiki huo una lengo la...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Ufisadi jiji la Mwanza, Mwanasheria jiji Mwanza na wenzake wawili wapiga Tsh ML. 190 Jiji la Mwanza limegubikwa na vitendo vya ufisadi unaofanywa na baadhi ya watumishi wasiokuwa waadilifu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom