Katiba

monongo

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
388
225
Katiba mpya jamani ni ya muhimu sana kwa mstakabali wa taifa letu, kwani tunapoelekea ni pabaya kwa mtu mwenye mtazamo wa mbali.
 

monongo

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
388
225
Njoni ndugu watanzania wenzangu tuijadili ile ile rasimu ya mzee Warioba kwani ilikuwa nzuri Sana.
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,291
2,000
JIWE hatakubali katiba kama ile iliyopendekezwa ikubalike!!!!! Huoni ametunga sheria ya kujilinda akimaliza muda wake!! Ile rasimu ya katiba iliyopendekezwa na WARIOBA ilipendekeza kiongozi kuwajibika kwa maamuzi waliyofanya wakiwa madarakani!!! Hicho ndicho kilichowatisha wakina Vasco Dagama wakaiweka kwapani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom